Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa Wemba asisitiza upendo Afrika Mashariki

Mwanamuziki kutoka DR Kongo mwenye makazi yake nchini Ufaransa, Papa Wemba amesema upendo ni kitendo kinachopaswa kuonyeshwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki ili kukuza maendeleo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ASISITIZA UMOJA KWA MAJESHI YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na wachezaji wa timu ya mpira wa Miguu ya Jeshi la Uganda katika kilele cha michuano ya majeshi ya Nchi za Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar August 29, 2014.. Katika mechi ya kufunga mashindahayo Uganda na Tanzania zilitoka sare ya 1-1. Wapili kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...

 

9 years ago

TheCitizen

Papa Wemba thrills at festival

Congolese crooner, Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba, popularly known as Papa Wemba, was the toast on the second day of Karibu Music Festival in Bagamoyo yesterday.

 

9 years ago

GPL

PAPA WEMBA NDANI YA BAGAMOYO

Jukwaa ambapo shoo ya Papa Wemba itafanyika muda mfupi ujao katika Viwanja vya Mwanakalenga, Bagamoyo. Jukwaa likiwa limepambwa. Baadhi ya watoa hudum ya kwanza wakiwa wamejipanga kutimiza wajibu wao endapo tatizo likitokea.
Baadhi ya watoto waliohudhuria tamasha hilo mwalimu Masayo Inoue anayefundisha michezo mbalimbali ya watoto. Kikundi cha… ...

 

9 years ago

TheCitizen

Papa Wemba to grace the stage in Bagamoyo

After a long wait the second edition of the Karibu Music Festival 2015 kicks off today with a promise of a star cast of artistes both local and foreign.

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Muziki

papa-wembaHERIETH FAUSTINE NA ESTHER MNYIKA

WASANII wa ndani na nje ya nchi wanatarajia kutumbuiza katika tamasha la Karibu Music Festival 2015 huku mgeni mwalikwa akiwa ni mwanamuziki kutoka Congo, Papa Wemba.

Wasanii wengine wanaotarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo ni Jhikolaman, Isha Mashauzi, Damian Soul, Juma Nature, Barnaba, Shilole, mshindi wa pili wa BSS, Nassib Fonabo na bendi yake ya Spirit na wengine wengi.

Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 6 hadi 8 katika viwanja vya...

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Wemba: Karibu Music Festival ni tamasha la kipekee

Papa Wemba akifanya onyesho lake katika tamasha la Karibu Music Festival 2015. Picha kwa hisani ya Egdar NgelelaNa Hassan Bumbuli

TAMASHA la Karibu Music Festival lililomalizika hivi karibuni mjini Bagamoyo limeacha kumbukumbu ya mambo mengi kwa wapenzi wa sanaa ya muziki hapa nchini. Licha ya kwamba ni tamasha changa, lakini hakuna mtu anayeweza kufirikia kwamba ilikuwa ni mara ya pili kwa tamasha hilo kufanyika kutokana na jinsi lilivyoandaliwa kwa ufanisi mkubwa.

Mbali na maandalizi mazuri, lakini ubora wa kazi za sanaa zilizoonyeshwa jukwaani na wanamuziki mbalimbali ni sehemu ya mambo...

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Wemba kunogesha Karibu Festival kesho kutwa

Papa WembaNA FESTO POLEA

TAMASHA la Karibu Music Festival 2015, litazinduliwa Novemba 6 hadi 8 mwaka huu katika viwanja vya Mwanakalenge, Bagamoyo, huku mwanamuziki kutoka Congo, Papa Wemba, akitarajiwa kulinogesha.

Katika Tamasha hilo lenye lengo la kukuza muziki wa Afrika, wasanii wa bongo fleva, wasanii na vikundi vya ngoma na nyimbo za asili watatumbuiza, lakini pia warsha za mafunzo mbalimbali kuhusu sanaa zitaendeshwa.

Baadhi ya wasanii wanaotarajiwa kutoa burudani ya kutosha katika siku tatu za...

 

9 years ago

Mtanzania

Papa Wemba, Weusi wafunga kazi Karibu Music Festival

Papa Wemba BagamoyoNa Mwandishi Wetu, Bagamoyo

MWANAMUZIKI nguli wa rhumba kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jules Shungu Kikumba maarufu kama Papa Wemba na kundi la muziki wa hip hop la Weusi, juzi walifunga kazi kwa shoo zao kabambe kwenye tamasha la pili la Karibu Music Festival.

Tamasha hilo la siku tatu juzi lilishuhudia maonyesho makali kutoka kwa bendi mbalimbali zilizopanda jukwaani huku Papa Wemba na Weusi wao wakiwa wa mwisho kutumbuiza usiku huo.

Papa Wemba aliwapagawisha...

 

9 years ago

Bongo5

Papa Wemba kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu, Bagamoyo, Nov 6

papa-wembaMuimbaji mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Papa Wemba, ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha la muziki la Karibu litakalofanyika kuanzia November 6 – 8. Tamasha hilo la muziki wa live litafanyika kwenye viwanja vya Mwanakalenge mjini Bagamoyo. Wasanii wengine watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo wanasomeka kwenye poster hiyo chini. Wasanii wa ndani watakaitumbuiza […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani