VAI ACHEKELEA KUACHIKA!
![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1ZQNaYXojJamVvoz2rBWc1LFsHQE1AEkpy2L1lzV1Xg2g1E9AC3n5W0TciiRpi48nzFHDLGM3mMcbDnyktAL-8E/334W.jpg?width=650)
Gladness Mallya MCHEZA filamu anayefanya vizuri nchini, Isabela Francis ‘Vai’ amefunguka na kuchekelea kuachana na mpenzi wake ajulikanaye kwa jina la Boniface Matiku ‘Bonny’, akisema akiwa nyumbani kwa mama yake, ana uhuru wa kuamua chochote, ikiwa ni pamoja na kunywa pombe hata asubuhi. Mcheza filamu anayefanya vizuri nchini, Isabela Francis ‘Vai’. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUS1fS7yK03LizTo0D6OQEK3qF*UNUUVbX8R2GAi1C8SHhmjmkjsAOu*R4eqd9BvG-YkLqeavrV6Ic3Nhq2nmOpo/hafsa.jpg?width=650)
HAFSA KAZINJA AJUTA KUACHIKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMliUX60oX*Qhz8-MNGDwXlxYLPZ6mLZkg*oxFmooT8w0eXlzQQGqBEkX5nyYrVZRQAQR4wqvXVBANsx*79IlyK9/hemedi.jpg?width=650)
DAVINA AJIFUA KUOGOPA KUACHIKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YhYw70UXYJg7lEgLyBej5wNkRAsv6CAKsSpbe0hoUwVQ3g8iUtdd24HBPFB9DoKUYDbO85oruyGR6*83LboQxCb/nora.jpg?width=650)
NORA AFUNGUKA KUACHIKA KWENYE NDOA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbKh-JY2ugPcR21raijCHt0ZAoTU3KrEbpn34e4HwsILlsV8-w3OnsDp7hBUb88Wu0hgm1RvV-3Pu1WkmIKCge7y/mahaba.jpg?width=650)
USIKUBALI KUACHIKA UKIWA KWENYE UCHUMBA!
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Baada ya kuachika mara 3 Dida ndoa ya 4!
Na Imelda Mtema
Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar es Salaam, Khadija Shaibu ‘Dida’ anatarajiwa kufunga pingu za maisha siku chache zijazo na mwanaume ambaye mwenyewe hakupenda kumtaja jina, hii ikiwa ni mara yake ya nne kufunga ndoa.
Akizungumza na mwandishi wetu muda mfupi baada ya kuvalishwa pete ya uchumba, Dida anayetangaza Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, alisema kwa mwanamke kuolewa ni bahati, hivyo anajihesabu kuwa miongoni mwa wanawake waliojaliwa kuwa na kismati.
“Unajua...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRASHiyYvlEFM8kpoh1kd0BQbmHWHGhsudsABNgHDpDM3D1oQo2tvEQheQRPfnh6KbZDlDNX7TXG*k3-ykiVQs-wd/vai.jpg?width=650)
VAI ACHEZEA KICHAPO
9 years ago
Habarileo07 Dec
47 wadaiwa kuachika kwa kupiga kura Zanzibar
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, kimeelezea kusikitishwa na tabia ya wanaume kuwazuia wanawake kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, huku wengine wakilazimika kuchukua hatua ya kuwapa talaka wake zao waliong’ang’ania kufanya hivyo.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO2BV45oD64pFGlq6SI32e2TiITuhKRBV6nrWt7FzdcGO9bF3iCII8Sq0lTNjZX1Wej4sxBDLQm1P5*3DrB8fDAj/VAIVV.jpg)
VAI ADAI HANA SIFA ZA MKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH1z*qNArtIoKEtb5q2MGLl423kxXN-wIR79-zGKio--dxVQyjN2CzPEtYqAjoz9KywqLaNeIgdSDx*uXfpJoLdo/vainoma.jpg?width=650)
VAI WA UKWELI: SIPIKI, NAMSTAREHESHA MPENZI TU!