Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NORA AFUNGUKA KUACHIKA KWENYE NDOA

Makala: Gladness Mallya BAADA ya kusoma Exclusive Interview ya staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, leo katika kona hii tunakuletea mwanadada mkongwe katika ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyezaliwa jijini Dar. Mwanadada mkongwe katika ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ Amezungumza mambo mengi yahusuyo tasnia ya uigizaji na maisha yake binafsi, mahojiano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Baada ya kuachika mara 3 Dida ndoa ya 4!

Na Imelda Mtema
Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar es Salaam, Khadija Shaibu ‘Dida’ anatarajiwa kufunga pingu za maisha siku chache zijazo na mwanaume ambaye mwenyewe hakupenda kumtaja jina, hii ikiwa ni mara yake ya nne kufunga ndoa.

Akizungumza na mwandishi wetu muda mfupi baada ya kuvalishwa pete ya uchumba, Dida anayetangaza Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, alisema kwa mwanamke kuolewa ni bahati, hivyo anajihesabu kuwa miongoni mwa wanawake waliojaliwa kuwa na kismati.

“Unajua...

 

11 years ago

GPL

USIKUBALI KUACHIKA UKIWA KWENYE UCHUMBA!

UJANA una mambo mengi lakini vijana wa zama hizi tumezidisha. Matukio ndani ya uhusiano ni mengi zaidi ya wakati uliopita. Kukutana na wanandoa wanaoachana baada ya miaka miwili tu ni jambo la kawaida siku hizi. Si ajabu tena kusikia msichana amechumbiwa na amevalishwa pete kabisa lakini baada ya siku kadhaa anaachwa. Hii ni aibu! Utakuta msichana hadi anaingia kwenye ndoa, ameshavaa pete za uchumba kutoka kwa wanaume hata wanne...

 

9 years ago

Mtanzania

Nora: Wanaonitaka kimapenzi hukimbia ndoa

NORANA RHOBI CHACHA

MSANII wa Filamu za Bongo, Nuru Nasoro ‘Nora’ amefunguka kwamba wanaume wengi wanaomtaka kimapenzi humkimbia anapowataka wasubiri hadi watakapofunga ndoa.

Nora alisema ameweka sharti hilo ili ampate mwanamume wa kweli, lakini anaona kama amejiwekea gundu kwa kuwa wengi waliojitokeza kwake hukimbia anapowaeleza masuala ya kusubiri hadi ndoa.

“Si kwamba sitongozwi, natongozwa tena wengi wanakuja kwa gia ya kutaka kunioa, lakini kila mwanamume anataka kushiriki tendo la ndoa...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA JIDE GARDNER AFUNGUKA

Na Ojuku Abraham na Gladness Mallya HABARI kubwa ya mjini hivi sasa, hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bongo, staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ na mtangazaji maarufu wa Radio Times FM, Gardner G. Habash, iliyofungwa Mei 14, 2005, Ijumaa linamaliza utata. Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura...

 

11 years ago

GPL

CATHY AFUNGUKA MCHEPUKO KATIKA NDOA

  Makala: Gabriel Ng’osha TUNAENDELEA na makala haya ambayo tuliyaanza wiki mbili zilizopita, mwigizaji Sabrina Rupia ‘Cathy’ anafunguka hatua mbalimbali ambazo alipitia katika maisha yake.
Mwandishi: Kwa nini uliamua kufanya shughuli za ufugaji? Mwigizaji  wa Bongo Muvi, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Cathy: Ufugaji na kilimo ni vitu ambavyo vimo kwenye damu, nimezaliwa na kukulia mashambani na...

 

10 years ago

Mwananchi

Lady Jaydee afunguka, avunja ndoa na Gadner

Mwanamuziki nyota wa kike nchini, Lady Jaydee jana aliamua kuwaburudisha mashabiki wake kwa staili ya kipekee; kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Gadner Habash

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Afunguka Kuhusu Malengo ya Ndoa Yake Kukwama

Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kuelezea  ni kwajinsi gani anavyo lichukulia swala la lengo lake alilojiwekea la  kuolewa mwaka 2014 kushindikana, kwa kusema kuwa imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo kwani anaamini Mungu ndiye anayewezesha kila kitu.

Akizungumza na paparazi wa GPL hivi karibuni, Lulu alisema mwaka 2014 alikuwa na malengo mengi likiwemo suala la ndoa lakini kwa kuwa Mungu ndiye muweza, atapanga upya suala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani