Lady Jaydee afunguka, avunja ndoa na Gadner
Mwanamuziki nyota wa kike nchini, Lady Jaydee jana aliamua kuwaburudisha mashabiki wake kwa staili ya kipekee; kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Gadner Habash
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo515 Aug
Lady Jaydee ajibu tetesi za kuachana na Gadner kwa picha ya pete ya ndoa kidoleni
Wanasema picha huongea maneno 1,000. Baada ya kuendelea kwa uvumi kuwa ndoa ya Lady Jaydee na Gadner G Habash imevunjika, muimbaji huyo amepost picha akionesha pete ya ndoa kwenye kidole chake. Kupitia ukurasa wake wa Facebook wa Lady Jaydee ameandika ujumba tofauti na picha lakini mashabiki wake wameelewa kuwa ni ujumbe anaoutoa kufuatia tetesi hizo. […]
10 years ago
Bongo504 May
Exclusive: Gadner azijibu tuhuma za Lady Jaydee (Video)
Kwa mujibu wa Lady Jaydee, Gadner G Habash alikuwa ni mume aliyekuwa akimdhalilisha kwa kutongoza wanawake mbele yake. Jaydee aliyaanika hayo kwenye Instagram March 20. Hata hivyo hadi Ijumaa, Gadner alikuwa hajawahi kuzijibu tuhuma hizo. “Kwa sasa hivi kusema ukweli nimetajihidi na mara nyingi napendelea kutozungumza sana uhusiano wangu uliopita kwasababu nina hofu kwamba nitamnyima […]
10 years ago
Bongo513 Feb
Gadner alitongoza na kuwashika makalio wanawake mbele yangu — Lady Jaydee
Wiki hii Lady Jaydee amewapa nafasi mashabiki wake kumuuliza maswali naye kuyajibu kupitia akaunti yake ya Instagram. Ameulizwa maswali mengi, na miongoni mwa maswali hayo ni la kuhusu ndoa yake na mtangazaji wa Radio E-FM Gadner G. Habash. Haya ni maswali na majibu kama alivyopost Instagram. “Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi? JIBU […]
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
LADY JAYDEE AVUNJA MKATABA NA GARDNER
Stori: Musa Mateja
HABARI mpya kutoka kwa mastaa wanaodaiwa kuvunjika kwa ndoa yao, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na Gardner G. Habash ‘Kaptaini’, inasemekana wamevunja mkataba wa kuendesha Mgahawa wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar. Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, wawili hao walidaiwa kufikia uamuzi wa...
11 years ago
Bongo531 Aug
Lady Jaydee: Hata ndoa yangu ikivunjika haimaanishi mnitafutie story za kunichafua, ajibu kwa urefu habari iliyoandikwa na gazeti la udaku
Lady Jay Dee, jana (August 30) kupitia Instagram alijibu kwa ufupi habari iliyoandikwa na gazeti la Risasi yenye kichwa cha habari ‘Jide, dogo dogo gumzo mjini’, (Ingia hapa).Leo kupitia ukurasa wake wa Facebook amejibu kwa urefu zaidi juu ya habari hiyo. Hivi ndivyo alivyoandika Jide: Zamani ilikuwa haipo sehemu ya kujitetea, gazeti likishaandika ndio limeandika. […]
10 years ago
VijimamboLady Jaydee - Forever (New Single)
Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania