LADY JAYDEE AVUNJA MKATABA NA GARDNER
![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe5wyJWelo8kp-O8VgIIx4FDkVlxrP7M-jUQhjXu9BZaaPafQEtEUvgnWTr2fxmeH0fEN-A5W8MqAsvyrXaBxtMb/jd.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja HABARI mpya kutoka kwa mastaa wanaodaiwa kuvunjika kwa ndoa yao, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na Gardner G. Habash ‘Kaptaini’, inasemekana wamevunja mkataba wa kuendesha Mgahawa wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar. Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’. Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, wawili hao walidaiwa kufikia uamuzi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Lady Jaydee afunguka, avunja ndoa na Gadner
10 years ago
Mtanzania11 Oct
Jaydee amtosa Gardner
Na Waandishi Wetu
MTANGAZAJI maarufu wa redio, Gardner G. Habash kwa mara ya kwanza amefichua ukweli wa makubaliano waliyofikia na mwanamuziki maarufu nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ya kutozungumza na vyombo vya habari kuhusu taarifa zinazodai kuvunjika au kutengana kwao kindoa.
Wakati Gardner akisita kueleza bayana kuhusu taarifa za kutengana kwake na Jide, taarifa ambazo gazeti hili limezithibitisha zinaeleza kwamba tayari mwanamuziki huyo ameshamuondoa ‘mumewe’ huyo katika nafasi ya...
9 years ago
Michuzi01 Dec
Lady JayDee Ndani ya London
![Bango la shoo ya 5 Desemba 2015](https://kitoto.files.wordpress.com/2015/12/bango-la-shoo-ya-5-desemba-2015.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtoru51-3*wTKvOI2nMYKOVO5H16wt3uo5SNkCtApx68EEDmzfoR1r77YrlM5Rc8J04-VTl390qLAvmIoojRRtog/JIDE.jpg)
NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE
10 years ago
Mtanzania15 May
Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia
NA RHOBI CHACHA
MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.
Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za...
10 years ago
VijimamboLady Jaydee - Forever (New Single)
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
10 years ago
Bongo517 Mar
New Video: Jaya f/ Lady Jaydee — Sasa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJLclRY0NH2xd9E8HHz75BLOctE7eQu8NGUgjbTnFYYYzCNE9pCd60yoUFhyLz7jayYx*XP5mAWHtJUVobl9xEQt/e.jpg?width=650)
LADY JAYDEE AJICHAGULIA JENEZA LA PILI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10