Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE

Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee' akiwa katika pozi na mkoko wake mpya aina ya Range Rover Evogue.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

Lady Jaydee ataja sifa za mpenzi mpya

Jaydee alitaja sifa za mpenzi huyo na kuweka wazi kwamba anataka mtu ambaye atamheshimu na kumtunzia utu wake.ILIKUWA ni wiki la kipekee kwa mwanamuziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ baada ya kukubali kujibu maswali ya mashabiki wake katika matandao wa Instagram, ambapo jana alifunguka kuhusu mpenzi anayemuhitaji kwa sasa.
Jaydee alitaja sifa za mpenzi huyo na kuweka wazi kwamba anataka mtu ambaye atamheshimu na kumtunzia utu wake.“Anayejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma...

 

10 years ago

Michuzi

introducing video mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo "Forever"

Hii ndio video mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level, na imeshootiwa on location ndani ya jiji la Johannesburg, South Africa. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds.
 Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzaniaFacebook: @ladyjaydee

 

10 years ago

Vijimambo

WIMBO MPYA WA LADY JAYDEE FT MAZET & UHURU "GIVE ME LOVE"

IMG-20150410-WA0026Artist:Lady jaydee Ft Mazet&UhuruSong: Give me love Producer:UhuruSupport Jaydee, Support Our Own

 

10 years ago

Dewji Blog

Kuwa wa kwanza kusikiliza single mpya ya Lady Jaydee ft DABO — Forever humu

photo-1

Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee  aliyomshirikisha Dabo inayoitwa “Forever”. Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.

Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania

Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani