Kuwa wa kwanza kusikiliza single mpya ya Lady Jaydee ft DABO — Forever humu
Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa “Forever”. Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi17 Jan
introducing video mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo "Forever"
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzaniaFacebook: @ladyjaydee
10 years ago
GPL25 Nov
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Kuwa wa kwanza kusikiliza wimbo mpya wa Lady jaydee Ft Mazet & Uhuru “Give me love” hapa
Artist:Lady jaydee Ft Mazet&Uhuru
Song: Give me love
Producer:Uhuru
Support Jaydee, Support Our Own
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycP5GbzAyNxVqcW2*jACB*HRBg2Xgck4XEpjxcOaqPOw5tY5OKMKN0BqWRIfSuDoyOgf3ywWmZXj9b65EYxLTADK/10482187_779139562134174_3005228999998359638_n.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo524 Nov
Video: Tazama kipande cha video mpya ya Lady Jaydee ft. Dabo ‘Forever’ iliyoongozwa na AJ
10 years ago
GPL30 Nov
10 years ago
VijimamboLady Jaydee - Forever (New Single)
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
10 years ago
Michuzi24 Nov
10 years ago
Jamtz.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-mVcYF5dJvjk/VHNAFQ5IpMI/AAAAAAAABRo/n_owX8C1Pj4/s72-c/Post.png)