Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LADY JAYDEE AJICHAGULIA JENEZA LA PILI

Mwandishi wetu
Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide, amelaaniwa vikali na mashabiki wake kwa kitendo hicho. Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide. ABADILI RANGI
Mwaka 2012, Jide alitupia mtandaoni picha za jeneza lake lenye mchanganyiko wa rangi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia

MwasitiNA RHOBI CHACHA

MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.

Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za...

 

10 years ago

Vijimambo

Lady Jaydee - Forever (New Single)

Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania

 

11 years ago

GPL

NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE

Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee' akiwa katika pozi na mkoko wake mpya aina ya Range Rover Evogue.

 

9 years ago

Michuzi

Lady JayDee Ndani ya London

Na Freddy Macha, London Mwanamuziki na mwimbaji mashuhuri wa Tanzania, Lady JayDee, anatazamiwa kutua jijini London kesho kutwa Alhamisi tayari kwa onesho kabambe Jumamosi. Akizungumza nami Jumatatu usiku, promota wa shoo hilo, Frank Leo, alisema anawaomba Watanzania na marafiki zao wajiunge kumshangilia Mtanzania mwenzetu tarehe 5 Desemba. Kiingilio cha paundi 20 ( wastani wa shilingi 45,000) kitatozwa katika holi maridadi la Oasis Banqueting Suite mtaa wa Barking, Mashariki ya London. Bango la shoo ya 5 Desemba 2015

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Jaya f/ Lady Jaydee — Sasa

Jaya releases “Sasa” featuring legendary Tanzanian artist Lady Jaydee. This is Jaya’s second single off her first solo project. “Sasa” is about desisting from waiting for the proverbial tomorrow and only being concerned about today – the moment right now. Jaya says, “We really spend a lot of our energy thinking about what will happen […]

 

10 years ago

GPL

LADY JAYDEE AVUNJA MKATABA NA GARDNER

Stori: Musa Mateja
HABARI mpya kutoka kwa mastaa wanaodaiwa kuvunjika kwa ndoa yao, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na Gardner G. Habash ‘Kaptaini’, inasemekana wamevunja mkataba wa kuendesha Mgahawa wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar. Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, wawili hao walidaiwa kufikia uamuzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lady Jaydee: Ni wakati wangu sasa

Baada ya tetesi kuwa ameachana na mumewe, mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee amesema leo anajitokeza kwa mara ya kwanza mbele ya mashabiki wake kwani wakati wa kufanya hivyo umewadia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani