Nora: Wanaonitaka kimapenzi hukimbia ndoa
NA RHOBI CHACHA
MSANII wa Filamu za Bongo, Nuru Nasoro ‘Nora’ amefunguka kwamba wanaume wengi wanaomtaka kimapenzi humkimbia anapowataka wasubiri hadi watakapofunga ndoa.
Nora alisema ameweka sharti hilo ili ampate mwanamume wa kweli, lakini anaona kama amejiwekea gundu kwa kuwa wengi waliojitokeza kwake hukimbia anapowaeleza masuala ya kusubiri hadi ndoa.
“Si kwamba sitongozwi, natongozwa tena wengi wanakuja kwa gia ya kutaka kunioa, lakini kila mwanamume anataka kushiriki tendo la ndoa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YhYw70UXYJg7lEgLyBej5wNkRAsv6CAKsSpbe0hoUwVQ3g8iUtdd24HBPFB9DoKUYDbO85oruyGR6*83LboQxCb/nora.jpg?width=650)
NORA AFUNGUKA KUACHIKA KWENYE NDOA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tBTKCkFUMvM6fZZON6KezVj0iU42N4aSOSyldOXuQHTE4AqKp0iflE*OUDEMUuKYWw-WAkYzwWh1mfWVqeHXmmTwjLra1PL9/kajala.jpg)
NORA AMCHANA KAJALA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18Kmi4uAEdClwq11yB7YhvPRlJMpS76HMB2bFG9NM*DSHVhm-IH3KC9jhANrAvoYNjczo5XmOHvotRwp9GKPhia/nora.jpg?width=650)
NORA ATESWA NA MATAPELI
9 years ago
Bongo Movies30 Oct
Nipo Sijapotea- Nora
MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Nuru Nassor ‘Nora’ anasema hajapotea katika tasnia ya filamu bali ni kujipanga na kufanya kazi zake zaidi kuliko za kushirikishwa kwani mara nyingi filamu ili ung’are lazima uwe mtayarishaji.
“Filamu ni tofauti na tamthilia, katika filamu kuna changamoto nyingi sana hali ya soko lakini pia maandalizi yake ni gharama, ndio kuna wakati wanaona msanii kama kapotea kumbe anajipanga,”Nora.
Nora anasema kuwa baadhi ya watayarishaji ni waoga...
10 years ago
Vijimambo23 Sep
9 years ago
Bongo Movies24 Aug
Nora: Naolewa, Nikiachika Tena…!
MUIGIZAJI wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ yuko katika siku za mwisho za kuhitimisha harakati za kufunga ndoa, huku akijiapiza kuwa, endapo ataachika tena, basi atakuwa na nuksi.
Akipiga stori na paparazi wetu juzi, mmoja wa marafiki wa muda mrefu na Nora, ambaye pia ni msanii wa filamu (jina lipo kwenye droo zetu), alisema kwa sasa Nora yuko ‘bize’ kuhakikisha mambo na mipango ya harusi yake na mwanaume ambaye alitajwa kwa jina moja la Omary inakwenda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5MLUjNZq-AtD3o00-15bxqjWD-n9zzS2CUpHPkh73Jp6XbOh00NolY--Mf-6Ma0YP3TU5SaB81nt6*p7r9bgUPQ/p.txt.jpg)
NORA AIBULIWA, AKANA KUFULIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscadNq2qXVrzF*OM1F7ioLtcYZSYW6NPM7vRUtfu*lCKLmjAPJQFWKLJuTKRQDz9bN2EgSR5qRaMWJxazANSh48z/mlela.jpg)
MLELA AMPIGA DONGO NORA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz60rxGXoADjuk-nV-bS55FMK4mGE5lBjzgyUGkxO4dqiam5GBBp0Ez-NyDRKt0AahHSlhO1LXj94uIZ29bBQo6eu/nora.jpg)
NORA AJUTA KUWAHI KUOLEWA