NORA AIBULIWA, AKANA KUFULIA
![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5MLUjNZq-AtD3o00-15bxqjWD-n9zzS2CUpHPkh73Jp6XbOh00NolY--Mf-6Ma0YP3TU5SaB81nt6*p7r9bgUPQ/p.txt.jpg)
Msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’. Gladness Mallya MSANII mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ ameibuliwa kutoka mafichoni na kueleza kuwa, hajafulia kama baadhi ya watu wanavyofikiria. Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, Nora ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu alisema anawashangaa watu wanaozusha kwamba amefulia wakati maisha yake anayaendesha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Nora Aibuka, Akana Kufulia
Staa mrembo wa Bongo Movies, Nuru Nassoro ‘Nora’ ameibuka kutoka mafichoni na kueleza kuwa, hajafulia kama baadhi ya watu wanavyofikiria.
Akistorisha na gazeti la Ijumaa hivi karibuni, Nora ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu alisema anawashangaa watu wanaozusha kwamba amefulia wakati maisha yake anayaendesha kama kawaida.
“Mimi sijafulia jamani, nipo na nitazidi kuwepo na mashabiki wangu wajue kwamba kimya kingi kina mshindo mkuu, kisanii nipo chimbo naandaa mambo mazuri,” alisema...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zs7KdFGDCC8/VnA68NnOn7I/AAAAAAAIMo0/uccYfCINMuI/s72-c/02.jpg)
Kutoka Ocean Road hadi Muhimbili kuagwa sabuni za kuogea za kufulia, miswaki na dawa za meno kwa watoto wenye matatizo ya kansa waliolazwa hapo na wazazi .
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tBTKCkFUMvM6fZZON6KezVj0iU42N4aSOSyldOXuQHTE4AqKp0iflE*OUDEMUuKYWw-WAkYzwWh1mfWVqeHXmmTwjLra1PL9/kajala.jpg)
NORA AMCHANA KAJALA
10 years ago
Vijimambo23 Sep
9 years ago
Bongo Movies30 Oct
Nipo Sijapotea- Nora
MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Nuru Nassor ‘Nora’ anasema hajapotea katika tasnia ya filamu bali ni kujipanga na kufanya kazi zake zaidi kuliko za kushirikishwa kwani mara nyingi filamu ili ung’are lazima uwe mtayarishaji.
“Filamu ni tofauti na tamthilia, katika filamu kuna changamoto nyingi sana hali ya soko lakini pia maandalizi yake ni gharama, ndio kuna wakati wanaona msanii kama kapotea kumbe anajipanga,”Nora.
Nora anasema kuwa baadhi ya watayarishaji ni waoga...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18Kmi4uAEdClwq11yB7YhvPRlJMpS76HMB2bFG9NM*DSHVhm-IH3KC9jhANrAvoYNjczo5XmOHvotRwp9GKPhia/nora.jpg?width=650)
NORA ATESWA NA MATAPELI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFI4GV0B9fVPm0AWWvSiw7JYXqxk7kKz9SmzhdG*wJ7XiDAi7M44moCZwAYm0BtQbvxo-PXLBQ8WGSgJM0T6tljN/noraa.jpg)
NORA AWABOMOA BONGO MOVIE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz60rxGXoADjuk-nV-bS55FMK4mGE5lBjzgyUGkxO4dqiam5GBBp0Ez-NyDRKt0AahHSlhO1LXj94uIZ29bBQo6eu/nora.jpg)
NORA AJUTA KUWAHI KUOLEWA
9 years ago
Bongo Movies24 Aug
Nora: Naolewa, Nikiachika Tena…!
MUIGIZAJI wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ yuko katika siku za mwisho za kuhitimisha harakati za kufunga ndoa, huku akijiapiza kuwa, endapo ataachika tena, basi atakuwa na nuksi.
Akipiga stori na paparazi wetu juzi, mmoja wa marafiki wa muda mrefu na Nora, ambaye pia ni msanii wa filamu (jina lipo kwenye droo zetu), alisema kwa sasa Nora yuko ‘bize’ kuhakikisha mambo na mipango ya harusi yake na mwanaume ambaye alitajwa kwa jina moja la Omary inakwenda...