Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NORA AMCHANA KAJALA

Stori: Mwandishi wetu
MWIGIZAJI kiwango enzi hizo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa wa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka

Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!

 

Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...

 

9 years ago

GPL

WOLPER AMCHANA CHUCHU!

Mwandishi wetu SIASA katika ubora wake! Nyota wa filamu nchini, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’ amemchana staa mwenzake, Chuchu Hans kufuatia kutofautiana kiitikadi kisiasa kati ya chama tawala (CCM) na Ukawa. Nyota wa filamu nchini, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’. Awali, Chuchu Hans alitangaza kuhamia Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi) na kushiriki kikamilifu kwenye uzinduzi wa kampeni zao...

 

10 years ago

GPL

MUME AMCHANA LIVE DAVINA

Waandishi wetu
KIMENUKA! Mume wa muigizaji nyota wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’, Abdallah Shakoor ambaye amekuwa kimya tangu kuenea kwa madai ya mkewe kutoka na staa mwenzake, Mike Sangu, hatimaye amefunguka kuhusu skendo hiyo na kudai anafuatilia kila hatua ya wawili hao na hivi karibuni atatoa msimamo wake. Muigizaji nyota wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’. Chanzo chetu makini...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba

Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema ameshangazwa na sababu zilizotolewa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejivua uenyekiti wa chama hicho, kuwa amechukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa makada wa CCM ndani ya Ukawa.

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

11 years ago

GPL

OLE MEDEYE AMCHANA LEMA, ADAI AMEKULIA GHETO

Mbunge wa Arumeru Magharibi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ole Joseph Medeye. MBUNGE wa Arumeru Magharibi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ole Joseph Medeye, amemchana Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema hivi punde bungeni kuwa…

 

9 years ago

Bongo5

Future amchana Ciara, adai anapenda kutawala wanaume

rs_560x415-140903152311-1024.future-ciara-reconcile-090314

Future amemchana baby mama wake, Ciara kwa kudai kuwa muimbaji huyo amekuwa na tabia za kutaka kutawala wenzake na amekuwa akimzuia kumuona mtoto wao wa kiume mwenye mwaka mmoja.

rs_560x415-140903152311-1024.future-ciara-reconcile-090314

Rapper huyo ametumia Twitter kutoa malalamiko yake ambako anadai amekuwa akitoa $15,000 kwaajili ya matunzo ya mtoto.

0103-future-tweets-3

Amedai kuwa amekuwa mkimya kwa mwaka mzika na kwamba sasa uvumilivu umemshinda na anamtaka mwanae.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani