Future amchana Ciara, adai anapenda kutawala wanaume
Future amemchana baby mama wake, Ciara kwa kudai kuwa muimbaji huyo amekuwa na tabia za kutaka kutawala wenzake na amekuwa akimzuia kumuona mtoto wao wa kiume mwenye mwaka mmoja.
Rapper huyo ametumia Twitter kutoa malalamiko yake ambako anadai amekuwa akitoa $15,000 kwaajili ya matunzo ya mtoto.
Amedai kuwa amekuwa mkimya kwa mwaka mzika na kwamba sasa uvumilivu umemshinda na anamtaka mwanae.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure!
Mvutano kati ya Future na Ciara juu ya malezi ya mwano, ‘Baby Future’ umezidi kuwa mkubwa, baada ya Future kumshambilia vikali Ciara, kambi ya Ciara haijakaa kimya wao pia wameongea na kueleza upande wao wa stori. Kwa mujibu wa mtandao wa E!News wa Marekani, kambi ya Ciara imepinga tuhuma za Future kupitia page yake ya […]
The post Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Future amshambulia Ciara
NEW YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nayvadius Wilburn ‘Future’, amemshambulia mpenzi wake wa zamani, Ciara kwa malezi mabaya ya mtoto wao.
Wawili hao walifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Future Zahir, wakati wa uhusiano wao, lakini baada ya kutengana mtoto huyo akawa anaishi na mama yake ‘Ciara’ ila Future ameonekana kuchukizwa na malezi ya mama huyo kwa mtoto wake.
“Najua mwanangu anateseka kukaa na mama yake, hafundishwi maadili mazuri...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
OLE MEDEYE AMCHANA LEMA, ADAI AMEKULIA GHETO
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Future kuanzisha vita na Ciara? Amshambulia kwenye hizi tweets tano!
Imepita mwaka mmoja na nusu toka Ciara na Future wamkaribishe duniani mtoto wao wa kiume ‘babyfuture’ lakini pengine mwaka huu wa 2016 unaweza kuwa mwaka mgumu kwa staa wa muziki wa R&B, Ciara! Baada ya ukimya juu ya mvutano unaohusiana na mtoto wao, Future ameonekana kuchoshwa na mambo hayo na hivyo kumwambia Ciara ajiandee kwani […]
The post Future kuanzisha vita na Ciara? Amshambulia kwenye hizi tweets tano! appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo522 Aug
Future alikuwa akichepuka na ‘stylist’ wake, Ciara adaiwa kuvunjwa moyo ‘mno’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6BTDYuCBsH*4HEXxNYz2CGrllmRn-JI9wuJ47mIPuygMXR-zC7jTr932yUj75ssyZQxiy65jJI0g93LKWhnwVUg/1mainda.jpg)
MAINDA ADAI KUKIMBIWA NA WANAUME
11 years ago
Bongo517 Jul
Martin Kadinda adai kukutana na changamoto ya wanaume wanaomtaka kimapenzi wakidhani ni shoga
9 years ago
Habarileo17 Oct
Shein: Magufuli anapenda ushirikiano
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein, amesema mgombea urais wa chama hicho wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli, mbali na uchapakazi wake, ni mtu anayependa ushirikiano.
9 years ago
Bongo502 Dec
Isha Mashauzi anapenda kufanya kazi na Cassim
![Isha Bomba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Isha-Bomba-300x194.jpg)
Muimbaji wa Taarab, Isha Mashauzi aka ‘Queen of the Best Melodies’ amesema ana hamu ya kumshirikisha muimbaji wa ‘Subira’ Cassim.
Akiongea na Clouds E ya Clouds TV, Isha alisema anakubali utunzi wa muimbaji huyo.
“Wasanii wengi wa Bongo Flava ni wakali lakini kwa mimi ningependa sana kufanya kazi na Cassim Mganga kwani ni msanii ambaye namkubali sana,” alisema.
Hivi karibuni kiongozi huyo wa Mashauzi Classic alizindua albamu yake mpya, ‘Sura Surambi.’
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...