Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Future alikuwa akichepuka na ‘stylist’ wake, Ciara adaiwa kuvunjwa moyo ‘mno’

Ciara anadaiwa kuvunjika moyo kupitia kiasi baada ya kubaini kuwa baba wa mwanae na mchumba wake Future alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine. Mbaya zaidi ni kuwa Future anadaiwa kuwa na uhusiano na stylist wake, Tyrina Lee. Chanzo kimoja kimeiambia E! News kuwa tangu kuachana na Future, Ciara ameamua kukaa ndani mara nyingi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure!

Mvutano kati ya Future na Ciara juu ya malezi ya mwano, ‘Baby Future’ umezidi kuwa mkubwa, baada ya Future kumshambilia vikali Ciara, kambi ya Ciara haijakaa kimya wao pia wameongea na kueleza upande wao wa stori. Kwa mujibu wa mtandao wa E!News wa Marekani, kambi ya Ciara imepinga tuhuma za Future kupitia page yake ya […]

The post Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Future amshambulia Ciara

futureNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nayvadius Wilburn ‘Future’, amemshambulia mpenzi wake wa zamani, Ciara kwa malezi mabaya ya mtoto wao.
Wawili hao walifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Future Zahir, wakati wa uhusiano wao, lakini baada ya kutengana mtoto huyo akawa anaishi na mama yake ‘Ciara’ ila Future ameonekana kuchukizwa na malezi ya mama huyo kwa mtoto wake.
“Najua mwanangu anateseka kukaa na mama yake, hafundishwi maadili mazuri...

 

9 years ago

Bongo5

Future amchana Ciara, adai anapenda kutawala wanaume

rs_560x415-140903152311-1024.future-ciara-reconcile-090314

Future amemchana baby mama wake, Ciara kwa kudai kuwa muimbaji huyo amekuwa na tabia za kutaka kutawala wenzake na amekuwa akimzuia kumuona mtoto wao wa kiume mwenye mwaka mmoja.

rs_560x415-140903152311-1024.future-ciara-reconcile-090314

Rapper huyo ametumia Twitter kutoa malalamiko yake ambako anadai amekuwa akitoa $15,000 kwaajili ya matunzo ya mtoto.

0103-future-tweets-3

Amedai kuwa amekuwa mkimya kwa mwaka mzika na kwamba sasa uvumilivu umemshinda na anamtaka mwanae.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

9 years ago

MillardAyo

Future kuanzisha vita na Ciara? Amshambulia kwenye hizi tweets tano!

Imepita mwaka mmoja na nusu toka Ciara na Future wamkaribishe duniani mtoto wao wa kiume ‘babyfuture’ lakini pengine mwaka huu wa 2016 unaweza kuwa mwaka mgumu kwa staa wa muziki wa R&B, Ciara! Baada ya ukimya juu ya mvutano unaohusiana na mtoto wao, Future ameonekana kuchoshwa na mambo hayo na hivyo kumwambia Ciara ajiandee kwani […]

The post Future kuanzisha vita na Ciara? Amshambulia kwenye hizi tweets tano! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mama wa watoto 4 aliyetafuta penzi juu chini kabla ya kuvunjwa moyo

Grace Destiny alikuwa akitafuta mpenzi kwa udi na uvumba hata ikafikia kiwango cha yeye kutoa pesa kwa mpenzi aliye naye.

 

9 years ago

Bongo5

Ivan bado anampenda mno Zari, asema mpambe wake (Picha)

Anaishi maisha ya kifahari, ni tajiri, anamiliki magari ya gharama kubwa, ana mijengo, biashara kibao na ana uwezo wa kumpata msichana yoyote anayemtaka kwa kutumia nguvu ya utajiri wake, lakini Ivan bado hajamsahau Zari the Bosslady aliyezaa naye watoto watatu wa kiume. Kwa mujibu wa mpambe wa King Lawrenc, Ivan ambaye ni raia wa Uganda […]

 

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness: Mangwair alikuwa ‘genius’, alikuwa na uwezo wa kuandika na kumaliza kurekodi album nzima siku moja

Albert Mangwair alikuwa ni rapper genius, kwa mujibu wa Izzo Bizness. Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Izzo amesema alifahamiana na Ngwair tangu yuko Mbeya kabla ya kuja kumshirikisha kwenye ngoma yake ‘Ball Player’ wakiwa na Quick Rocka. “Ngwair ni mtu ambaye nilisema angeamua, angekuja kuvunja historia ya muziki labda Tanzania,” anasema Izzo. “Alikuwa […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Atafuna Moyo wa adui wake A.Kusini

Mwanamume mmoja amekamatwa kwa mauaji ya mwanamume mwingine aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake za zamani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani