Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAINDA ADAI KUKIMBIWA NA WANAUME

Brighton Masalu Mwigizaji wa kitambo Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kutokana na muonekano wake wa ‘usiriaz’, imekuwa ni kinga imara inayosababisha kukimbiwa na wanaume wakware. Akizungumza na Amani, Mainda aliyewahi kuripotiwa kutoka na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alisema wakati mwingine wanaume huangalia ‘hali ya hewa’ kwa mwanamke kabla ya kumfuata na kumueleza mambo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUME ADAI KUKIMBIWA NA MKE!

Stori: Mayasa Mariwata
Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda. Bw. Ally Musa anyedai kukimbiwa na mkewe(Sauda). Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele… ...

 

9 years ago

Bongo5

Future amchana Ciara, adai anapenda kutawala wanaume

rs_560x415-140903152311-1024.future-ciara-reconcile-090314

Future amemchana baby mama wake, Ciara kwa kudai kuwa muimbaji huyo amekuwa na tabia za kutaka kutawala wenzake na amekuwa akimzuia kumuona mtoto wao wa kiume mwenye mwaka mmoja.

rs_560x415-140903152311-1024.future-ciara-reconcile-090314

Rapper huyo ametumia Twitter kutoa malalamiko yake ambako anadai amekuwa akitoa $15,000 kwaajili ya matunzo ya mtoto.

0103-future-tweets-3

Amedai kuwa amekuwa mkimya kwa mwaka mzika na kwamba sasa uvumilivu umemshinda na anamtaka mwanae.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

11 years ago

Bongo5

Martin Kadinda adai kukutana na changamoto ya wanaume wanaomtaka kimapenzi wakidhani ni shoga

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amesema kuwa amekuwa akikutana na changamoto kutoka kwa wanaume wengi wanaodhani kuwa yeye ni shoga na kufikia hatua ya kumtumia ujumbe wa kumtaka kimapenzi. “Kila mtu anakuwa na maswali yake anaya-raise kutokana na anacho kifikiria katika akili yake, Watanzania tunatabia ya ku-create situation katika akili zetu halafu we want […]

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA CHADEMA CHAZIDI KUKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE


  Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara Makina Josephat ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hiko kikuu cha upinzani ametangaza uamuzi huo leo jijini Dodoma na kupokelewa na MNEC wa CCM, Ismail Jamaa.
Akizungumza baada ya kumpokea Diwani huyo, MNEC Jamaa amesema wamempokea kiongozi huyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kwamba taratibu zingine za kumpokea...

 

11 years ago

GPL

BAADA YA KUKIMBIWA NA MPINZANI WAKE KALAPINA ATANGAZA KUZICHAPA NA KASEBA

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Kalapina akitangazwa kushinda kwenye mpambano wa ngumi usiku wa kuamkia leo,baada ya mpinzani wake Bahati Mwamfiale kutotokea ulingoni ndani ya Ukumbi wa Msasani Club,sasa aomba pambano na Japhet Kaseba na Mchumia Tumbo. Kalapina akirudi kwenye chumba cha kubadilishia nguo huku akishangiliwa na wapambe…

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

GPL

MAINDA ALILIA MTOTO

Brighton Masalu
STAA ‘mtulivu’ wa uigizaji Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameibuka na kudai kuwa kama mwanamke aliyekamilika, anasikitishwa sana kwa kutopata mtoto hasa kutokana na kunyoshewa vidole na maneno mengi juu ya suala hilo. Staa wa Bongo Movie , Ruth Suka ‘Mainda’ katika pozi. Alisema kutokana na kukosa mtoto wakati mwingine hujisikia vibaya kiasi kwamba hutamani kuwabeba watoto wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Mlokole Mainda anaswa!

IMG_3831
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ akikumbatiana na mwanaume huyo.

Musa mateja
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ambaye ni mlokole wa Huduma ya Inuka Uangaze iliyopo kwenye Ukumbi wa Vatican City Hotel, Sinza jijini Dar, amenaswa laivu akiwa amegandana kimahaba na mwanaume hivyo kuibua minong’ono.

TUJIUNGE USHUANI MASAKI
Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri maeneo ya ushuani kwenye bustani zilizopo ndani ya Hoteli ya Double Tree, Masaki...

 

11 years ago

GPL

MAINDA ASAKA MUME

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kwa sasa hahitaji mchumba wala mpenzi, anahitaji mume wa kumuweka ndani. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema hata akifuatwa na mtu mwenye fedha nyingi kutaka uhusiano naye, hawezi kumkubalia kwani anachotaka sasa hivi ni ndoa tu. “Kwa sasa mpenzi wangu ni Yesu na kutokana na yeye mume wangu nimeshamuona kwenye maono…yulee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani