MUME ADAI KUKIMBIWA NA MKE!
![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuqv9D4AmId4C-gWj7t6xPLzetpoPOJBmE7KPy9knNLn5nQ07E04hm8XG9kTz79Xi4nxZavCXu4xohd9QX*PEDSO/MUMEcopy.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda. Bw. Ally Musa anyedai kukimbiwa na mkewe(Sauda). Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6BTDYuCBsH*4HEXxNYz2CGrllmRn-JI9wuJ47mIPuygMXR-zC7jTr932yUj75ssyZQxiy65jJI0g93LKWhnwVUg/1mainda.jpg)
MAINDA ADAI KUKIMBIWA NA WANAUME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3o-n5KIczPxT0vJDVJlJCevk7ZoBvTrdjn7ihRvQtLNjUc9maLADoIsIDHjK-K-3N8fOsJkaHZWOQpfLdJ9P3e/mume.jpg?width=650)
MUME, MKE WATEKWA!
10 years ago
Mwananchi05 Jun
MUME KWA MKE TAJIRI
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mke amkimbia mume kingono
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-yZgY*Sei*vk6Lde6Uw0--tXYTmrwd*nTWgE3h*0YmBgquaNMXMcMImevBg5iOBGQXU0VMtTNZ9-65JovJwIpUU/mke.jpg)
MUME, MKE VARANGATI MAHAKAMANI
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Mume aua mke na kutoweka
MWILI wa mwanamke aliyefamika kwa jina la Ekanga Michael (30), umekutwa korongoni maeneo ya Mwanga Vamia karibu na kambi ya jeshi, Manispaa ya Kigoma Ujiji ikidaiwa kuuawa na mumewe. Akifafanua...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1Z2wlNEKDlCvLqZ7w-2leKUd4uu107d0oIDDc8C93o7sxV30CAgUXFQfU4MQt0XMrwopBUZosZw76HeEdU4caUx/WEWW.jpg?width=650)
MKE WA SHETTA ADAI TALAKA
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mke azungumzia mume kuhamia Chadema
MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro mkoani hapa, Fatuma Ngorisa ambaye ameteuliwa kuwa diwani wa Viti Maalumu (UWT) amesema kuwa kuhama kwa mume wake, ni uamuzi wake binafsi, hakumshirikisha hivyo hawezi kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DTKa23i9fTs/U-HommZQCVI/AAAAAAAF9gI/7OdcILgwV5I/s72-c/IMG_20140804_104051.jpg)
MKE NA MUME WAKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-DTKa23i9fTs/U-HommZQCVI/AAAAAAAF9gI/7OdcILgwV5I/s1600/IMG_20140804_104051.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LfTgY5PqvGc/U-HonScSd-I/AAAAAAAF9gM/redNleJVfvc/s1600/IMG_20140804_104207.jpg)
Na Woinde Shizza,Arusha.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewakamata watu watano wakiwa na magunia saba ya madawa ya kulevya aina ya bhangi wakiwemo mke na mume.
Awali askari wa Kitengo cha Kuzuia...