MAINDA ALILIA MTOTO

Brighton Masalu STAA ‘mtulivu’ wa uigizaji Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameibuka na kudai kuwa kama mwanamke aliyekamilika, anasikitishwa sana kwa kutopata mtoto hasa kutokana na kunyoshewa vidole na maneno mengi juu ya suala hilo. Staa wa Bongo Movie , Ruth Suka ‘Mainda’ katika pozi. Alisema kutokana na kukosa mtoto wakati mwingine hujisikia vibaya kiasi kwamba hutamani kuwabeba watoto wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
Mtanzania22 Oct
Terry alilia penalti
KIEV, Urusi
BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.
Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.
“Bado tupo vizuri,...
10 years ago
Habarileo18 Jan
RC alilia shule ya Wahadzabe isiingiliwe
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone ameiomba Wizara ya Elimu na Ufundi kuitambua shule ya msingi ya bweni katika kijiji cha Munguli, wilayani Mkalama mkoani Singida kuwa ni shule maalumu kwa watoto wa jamii ya Wahadzabe tu.
10 years ago
Habarileo22 Jun
Nyalandu `alilia’ umoja CCM
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka WanaCCM kutovurugana kwa sababu tu ya mchakato unaoendelea wa kumtafuta mwanachama atakeyebeba mikoba ya chama hicho katika kuwania urais wa Tanzania baadaye mwaka huu.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msola alilia nyongeza ya bajeti
SERIKALI imetakiwa kuongeza kiwango cha bajeti kinachotengwa kwenye utafiti kwa lengo la kukuza uchumi na maendeleo ya taifa. Hayo yalisema mjini hapa juzi na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
10 years ago
GPL
ETI LULU ALILIA KUZAA
11 years ago
GPL
DUDE NAYE ALILIA UBUNGE!
11 years ago
Mwananchi02 Nov
JK alilia soka la vijana nchini
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Mwijage alilia fedha za katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Charles Mwijage, amesema serikali imetumia fedha nyingi katika mchakato wa katiba badala ya kujielekeza kutatua kero sugu za wananchi. Mwijage ambaye pia ni mbunge...