Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwijage alilia fedha za katiba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Charles Mwijage, amesema serikali imetumia fedha nyingi katika mchakato wa katiba badala ya kujielekeza kutatua kero sugu za wananchi. Mwijage ambaye pia ni mbunge...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lipumba alilia haki za binadamu kwenye katiba mpya

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Katiba amesema Tanzania imejijengea desturi ya kutesa binadamu hata kwa haki zinazolindwa na sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vunjeni Bunge la Katiba, okoeni fedha zetu

KWA waliofutatilia na kusikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ya zaidi ya saa mbili  kwa Bunge la Katiba (CA) kule Dodoma watakubaliana nasi kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wataalamu wa fedha wataja udhaifu Rasimu ya Katiba

WATAALAMU wa fedha kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Jamhuri ya Muungano wamebainisha hatari ya kufuata Rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa upande wa masuala ya fedha.

 

11 years ago

Mwananchi

Nchemba: Tutadhibiti fedha Bunge lijalo la Katiba

Naibu Waziri wa Fedha na naibu katibu mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba amesema wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza baadaye Agosti hawatalipwa kwa mkupuo posho zote za siku 60 ikiwa ni mkakati wa kudhibiti utoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwijage: Sikushtuka, sikubabaika

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amesema hakushtuka wala kubabaika Rais Jakaya Kikwete alipomwambia kuwa anataka ampe kazi katika wizara hiyo, badala yake alifurahi kupewa kazi anayoielewa.

 

11 years ago

Mwananchi

Laiti fedha za Bunge la Katiba zigetumika katika sekta ya elimu...

>Kuanzia Februari 18 hadi Aprili 25 wajumbe wapatao 629 wa Bunge Maalumu la Katiba walikutana mjini Dodoma kwa lengo la kupitia Rasimu ya Pili ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwijage ataka usalama vyuo vikuu

MBUNGE wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM), ametaka kuwepo kwa ulinzi wa uhakika katika maeneo ya vyuo vikuu nchini, ili kuondoa hofu ya kuvamiwa kwa wanafunzi. Akiuliza swali bungeni jana,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mwijage: Siridhishwi na mradi wa usambazaji umeme vijijini


Na Happiness Mtweve,Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles  Mwijage, amesema haridhishwi na utekelezaji wa mradi wa usambazaji wa umeme vijijini.
Mwijage, ambaye alikaa ofisini kwa siku tatu baada ya kuteuliwa, alisema hayo jana wakati akijibu maswali ya nyongeza ya mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed  Shabiby.
Alisema mpaka sasa utekelezaji wa usambazaji umeme katika mkoa wa Manyara ni asilimia sita, Pwani asilimia 22 na Kagera asilimia 52, kasi ambayo bado ni ndogo.
Mwijage alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani