Mwijage: Sikushtuka, sikubabaika
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amesema hakushtuka wala kubabaika Rais Jakaya Kikwete alipomwambia kuwa anataka ampe kazi katika wizara hiyo, badala yake alifurahi kupewa kazi anayoielewa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Mwijage alilia fedha za katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Charles Mwijage, amesema serikali imetumia fedha nyingi katika mchakato wa katiba badala ya kujielekeza kutatua kero sugu za wananchi. Mwijage ambaye pia ni mbunge...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mwijage ataka usalama vyuo vikuu
MBUNGE wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM), ametaka kuwepo kwa ulinzi wa uhakika katika maeneo ya vyuo vikuu nchini, ili kuondoa hofu ya kuvamiwa kwa wanafunzi. Akiuliza swali bungeni jana,...
10 years ago
MichuziMWIJAGE AZITAKA KAMPUNI ZA MAFUTA KUBORESHA MAHUSIANO
10 years ago
MichuziMwijage afanya kikao na wakandarasi wa miradi ya REA
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Mwijage: Siridhishwi na mradi wa usambazaji umeme vijijini
Na Happiness Mtweve,Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage, amesema haridhishwi na utekelezaji wa mradi wa usambazaji wa umeme vijijini.
Mwijage, ambaye alikaa ofisini kwa siku tatu baada ya kuteuliwa, alisema hayo jana wakati akijibu maswali ya nyongeza ya mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby.
Alisema mpaka sasa utekelezaji wa usambazaji umeme katika mkoa wa Manyara ni asilimia sita, Pwani asilimia 22 na Kagera asilimia 52, kasi ambayo bado ni ndogo.
Mwijage alisema...
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Waziri Mwijage atema cheche kwa watendaji
10 years ago
MichuziMh. Mwijage azindua mradi wa Umeme Kanda ya Kusini
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage ameanza rasmi ziara ya kikazi katika kanda ya kusini ambapo ameanza ziara hiyo kwa kuzindua rasmi transfoma yenye uwezo wa 50KVA itakayohudumia wateja 200 katika kijiji cha Maguvani wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika wilaya ya kitanesco ya Makambako, Mhandisi Abdulrahman Nyenye, amesema kuwa uzinduzi wa mradi huo ni kielelezo cha...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Tibaijuka, Mwijage wajinadi kwa sufuria za wali Muleba
WABUNGE wawili wa Muleba Kusini na Kaskazini, Profesa Anna Tibaijuka na Charles Mwijage, wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameibuka na mbinu mpya ya kupata wananchi kwa kupika na kugawa...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Simbachawene, Mwijage wasema watasambaza umeme kwa kasi
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene na Naibu wake, Charles Mwijage waliripoti katika ofisi zao mpya jana na kuahidi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kuhakikisha wanasambaza umeme vijijini kwa kasi.