Mh. Mwijage azindua mradi wa Umeme Kanda ya Kusini
Na Teresia Mhagama.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage ameanza rasmi ziara ya kikazi katika kanda ya kusini ambapo ameanza ziara hiyo kwa kuzindua rasmi transfoma yenye uwezo wa 50KVA itakayohudumia wateja 200 katika kijiji cha Maguvani wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika wilaya ya kitanesco ya Makambako, Mhandisi Abdulrahman Nyenye, amesema kuwa uzinduzi wa mradi huo ni kielelezo cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwijage azindua mradi wa umeme uliobuniwa na wananchi kijiji cha Lilondo mkoani Ruvuma
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amezindua mradi wa umeme wa kiasi cha kilowati 40 uliobuniwa na wananchi katika kijiji cha Lilondo, wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma ambapo jumla ya nyumba 100 zimeshafaidika kwa kuunganishwa na huduma ya umeme.
Akiwa ameambatana na mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama, Naibu waziri Mwijage, alitembelea na kukagua mitambo pamoja na...
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Mwijage: Siridhishwi na mradi wa usambazaji umeme vijijini
Na Happiness Mtweve,Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage, amesema haridhishwi na utekelezaji wa mradi wa usambazaji wa umeme vijijini.
Mwijage, ambaye alikaa ofisini kwa siku tatu baada ya kuteuliwa, alisema hayo jana wakati akijibu maswali ya nyongeza ya mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby.
Alisema mpaka sasa utekelezaji wa usambazaji umeme katika mkoa wa Manyara ni asilimia sita, Pwani asilimia 22 na Kagera asilimia 52, kasi ambayo bado ni ndogo.
Mwijage alisema...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-v2I0MdBSy2c/Vf7an9_y0lI/AAAAAAAH6WI/BFzZCwDgi44/s72-c/unnamed%2B%252852%2529.jpg)
Dkt. Shein azindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba
![](http://4.bp.blogspot.com/-v2I0MdBSy2c/Vf7an9_y0lI/AAAAAAAH6WI/BFzZCwDgi44/s640/unnamed%2B%252852%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BHUBUyXIoJs/Vf7an9JH7bI/AAAAAAAH6WM/njFM7l8wuNI/s640/unnamed%2B%252853%2529.jpg)
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME GESI ASILIA KINYEREZI
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA NANJIRINJI
10 years ago
MichuziDKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UMEME KIJIJI CHA DONGONGWE KATI UNGUJA LEO
10 years ago
Habarileo27 Jan
Simbachawene, Mwijage wasema watasambaza umeme kwa kasi
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene na Naibu wake, Charles Mwijage waliripoti katika ofisi zao mpya jana na kuahidi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kuhakikisha wanasambaza umeme vijijini kwa kasi.
9 years ago
MichuziMwijage akagua miradi ya umeme pembeni mwa bomba la Gesi
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini Awamu ya Pili inayotekelezwa pembeni ya bomba kubwa la gesi katika mkoa wa Mtwara.
Pamoja na kukagua miradi hiyo inayofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kutekelezwa na shirika la Umeme nchini (TANESCO), Naibu Waziri pia amekagua maendeleo ya kituo cha kuchakata gesi kilichopo kijiji cha Madimba katika mkoa wa Mtwara.
Katika ziara hiyo Mwijage...