Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Shein azindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo  Mkoani humo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibonyeza kitufe   kuzindua Mradi wa  Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembelea Kisiwa cha panza, Mkoa wa Kusini Pemba.

Na Othman Khamis Ame, OMPR  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Hakmashauri Kuu ya Taifa ya  CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema Chama cha Mapinduzi kina wajibu wa kuhakikisha kinashinda kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2015 ili kiendelee kusimamia uhimili wa amani ya Taifa iliyopo hivi sasa. Balozi Seif alisema hayo wakati akizungumza na Viongozi pamojana Wana CCM wa Kisiwa Panza Wilaya ya Makoani Pemba mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi la Mtondooni Kisiwani...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UMEME KIJIJI CHA DONGONGWE KATI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua Nishati ya Umeme Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Unguja leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija (kutoka kulia) Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban, Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatib na Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

 

10 years ago

Michuzi

Mwijage azindua mradi wa umeme uliobuniwa na wananchi kijiji cha Lilondo mkoani Ruvuma

Na Teresia Mhagama
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amezindua mradi wa umeme wa kiasi cha kilowati 40 uliobuniwa na wananchi katika kijiji cha Lilondo, wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma ambapo jumla ya nyumba 100 zimeshafaidika kwa kuunganishwa na huduma ya umeme.
Akiwa ameambatana na mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama, Naibu waziri Mwijage, alitembelea na kukagua mitambo pamoja na...

 

10 years ago

Vijimambo

UPEPO MKALI WAATHIRI NYUMBA KISIWA PANZA PEMBA

Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa kusini Pemba wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Mkaoni Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, wakizungumza na mbunge wa jimbo la Mkanyageni Habibu Mnyaa wakati walipokuwa wakivuka kuelekea kisiwa Panza kwa lengo la kuwafariji wananchi waliopatwa na maafa ya nyumba zao kuezuliwa na upepe.Miongoni mwa nyumba zilizokumbwa na maafa kufuatia upepo mkali uliovuma usiku wa kuamia Aprili 22 mwaka huu, huko katika kisiwa Panza Wilaya...

 

10 years ago

Vijimambo

FUNDRAISING YA WAHANGA WA KIMBUNGA YA KISIWA PANZA HUKO PEMBA

Kimbunga kilichotokea Juzi na kuathiri zaidi ya watu Mia mbili bila kuwa na makazi. MEZA YA FUNDRAISING ITAKUA JUMAMOSI kuanzia saa nane Mchana. Kabla ya Mechi ya Muungano itakayochezwa Jumamosi April 25, 2015 kati ya timu ya Kilimanjaro na Zanzibar Star  chini ya  udhamini wake People's Bank of Zanzibar(PBZ) ambao ndio wadhamini mechi hii tangia mwaka jana.



Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills


Anuani ya...

 

10 years ago

Vijimambo

FUND RAISING YA WAHANGA WA KIMBUNGA YA KISIWA PANZA HUKO PEMBA

Kimbunga kilichotokea Juzi na kuathiri zaidi ya watu Mia mbili bila kuwa na makazi.Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazanzibari Marekani ZADIA anawahimiza watu wote kuwasidia Wahanga wa Kisiwa Panza huko Pemba baada ya kupata Kimbunga huko Zanzibar Juzi Familia  mia mbili zimekuwa bila makazi , Tunaomba Mchango wako kusaidia familia hizi.
Ahsante Mwenyekiti ZADIA Sheikh Omar/ Mkiti ZADIA 215 459 4449Unaweza kuchangia Online kwa kupitia link hizi hapahttp://www.gofundme.com/sv2k48OR PAY...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani