FUND RAISING YA WAHANGA WA KIMBUNGA YA KISIWA PANZA HUKO PEMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-ibYMQjLuoFE/VTkV-wn5YAI/AAAAAAABsng/cg1AsyopTYs/s72-c/4598.jpg)
Kimbunga kilichotokea Juzi na kuathiri zaidi ya watu Mia mbili bila kuwa na makazi.Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazanzibari Marekani ZADIA anawahimiza watu wote kuwasidia Wahanga wa Kisiwa Panza huko Pemba baada ya kupata Kimbunga huko Zanzibar Juzi Familia mia mbili zimekuwa bila makazi , Tunaomba Mchango wako kusaidia familia hizi.
Ahsante Mwenyekiti ZADIA Sheikh Omar/ Mkiti ZADIA 215 459 4449Unaweza kuchangia Online kwa kupitia link hizi hapahttp://www.gofundme.com/sv2k48OR PAY...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-JmilZPSMaJc/VTqOJYMcDYI/AAAAAAAABO0/6BpnqO-vIGs/s72-c/Kimbunga.jpg)
FUNDRAISING YA WAHANGA WA KIMBUNGA YA KISIWA PANZA HUKO PEMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-JmilZPSMaJc/VTqOJYMcDYI/AAAAAAAABO0/6BpnqO-vIGs/s1600/Kimbunga.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-3qE177_qalA/VTqOJ3GkTtI/AAAAAAAABO4/OqO7oeGFxkc/s1600/Kimbunga1.jpg)
Anuani ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NhPKvIMyVkw/VTkV6w22l2I/AAAAAAABsnY/r5EA_pF4mNg/s72-c/4593.jpg)
UPEPO MKALI WAATHIRI NYUMBA KISIWA PANZA PEMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-NhPKvIMyVkw/VTkV6w22l2I/AAAAAAABsnY/r5EA_pF4mNg/s1600/4593.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ibYMQjLuoFE/VTkV-wn5YAI/AAAAAAABsng/cg1AsyopTYs/s1600/4598.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OtjnUny52Vs/U6XOMnGMc4I/AAAAAAAFsLU/XM3MJDhSk5g/s72-c/748.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi atembelea Kisiwa cha panza, Mkoa wa Kusini Pemba.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-v2I0MdBSy2c/Vf7an9_y0lI/AAAAAAAH6WI/BFzZCwDgi44/s72-c/unnamed%2B%252852%2529.jpg)
Dkt. Shein azindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba
![](http://4.bp.blogspot.com/-v2I0MdBSy2c/Vf7an9_y0lI/AAAAAAAH6WI/BFzZCwDgi44/s640/unnamed%2B%252852%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BHUBUyXIoJs/Vf7an9JH7bI/AAAAAAAH6WM/njFM7l8wuNI/s640/unnamed%2B%252853%2529.jpg)
10 years ago
GPLTAUSI LIKOKOLA FUND RAISING DINNER
10 years ago
Habarileo06 Nov
‘Kisiwa cha Pemba si sehemu ya Kenya’
SERIKALI imekanusha madai yanayosambazwa na vyombo vya habari vya Kenya kwamba Kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Kenya.
9 years ago
StarTV28 Sep
Wakazi wa kisiwa cha Pemba waishukuru Serikali Kwakuleta miradi ya maendeleo
Wakazi wa Kisiwa cha Pemba wameiomba Serikali kuweka mifereji kwenye barabara iliyotengenezwa kwa msaada wa Mfuko wa Maendeleo ya Changamoto za Millenia MCC unaofadhiliwa na watu wa Marekani. Wakazi hao pia wameishukuru Serikali kwa juhudi zilizooneshwa za ujenzi wa barabara pamoja na mradi wa maendeleo uliokamilika.
Hata hivyo wasema bado wanakabiliwa na changamoto kubwa ya mvua inaponyesha ambapo maji hutiririka katika nyumba zao na hivyo hushindwa kuishi kwa amani kutokana na...
10 years ago
Michuzi08 Apr
TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) HUKO WETE-PEMBA