MWIJAGE AZITAKA KAMPUNI ZA MAFUTA KUBORESHA MAHUSIANO
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati), Charles Mwijage (Kulia) akielekeza jambo kwa baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya Mafuta ya TIPPER alipotembelea Kampuni hiyo hivi karibuni wakati wa ziara yake kwa Kampuni mbalimbali zinazojishughulisha na biashara ya mafuta nchini.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati), Charles Mwijage (Wa pili kutoka Kushoto) akifuatana na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya Mafuta ya GAPCO kukagua miundombinu ya kuhifadhia mafuta iliyoko eneo la Kampuni hiyo,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo518 Sep
Njia tano za kujenga na kuboresha mahusiano na watu
9 years ago
StarTV07 Sep
Lowassa azitaka Kampuni za tumbaku kulipa wakulima
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA inayoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amezitaka kampuni za ununuzi wa tumbaku kuwalipa wakulima fedha wanazodai haraka iwezekanavyo ili waweze kuzitumia kuendesha maisha yao.
Amesema iwapo ataingia Ikulu wakati wakulima hao hawajalipwa fedha zao, kampuni hizo zitalazimika kuwalipa maradufu ili kuhakikisha kila mkulima na mtanzania ananufaika na alicho kigaramikia hivyo kuomba kupewa ridha ya...
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
Kampuni ya mafuta Somalia yachunguzwa
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Kampuni ya mafuta kuchunguzwa-Goodluck
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Ewura yafungia kampuni saba za mafuta
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NqulteiIpoU/VGYlQTApnEI/AAAAAAAGxPg/-ekrz66VjsA/s72-c/2.jpg)
KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAANDIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA KWAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-NqulteiIpoU/VGYlQTApnEI/AAAAAAAGxPg/-ekrz66VjsA/s1600/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-wHBUqOz_Y2k/VGYlVOOHYLI/AAAAAAAGxQk/AbdZCsHmERg/s1600/8.jpg)
Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo.Engeni ni Kampuni iliyojikita katika uuzaji wa Mafuta bora ndani na nje ya Tanzania,huku ikiendelea kujivunia kwa Ubora wake.Pichani ni Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni hiyo ya Engen hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya jengo lao Kurasini...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN HAPA NCHINI YAPATA MKURUNGENZI MPYA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WDOPeBlr6Mo/UvoAWB5L8FI/AAAAAAAAdhw/S4qkRNMsOkw/s72-c/unnamed1.jpg)
Kampuni ya Chemicotex yaja na bidhaa ya Tressa kwa ajili kuboresha urembo wa nywele za Mtanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-WDOPeBlr6Mo/UvoAWB5L8FI/AAAAAAAAdhw/S4qkRNMsOkw/s1600/unnamed1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6bK2bJHOQeE/UvoAXj-U-dI/AAAAAAAAdiA/4MVYLByvMes/s1600/unnamed3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YQQboACTops/UvoAZH94J0I/AAAAAAAAdiI/Dm6SwCuAC3U/s1600/unnamed4.jpg)