Njia tano za kujenga na kuboresha mahusiano na watu
Unaweza kuwa hujui kwamba kujenga uhusiano mzuri na wenzako au wafanyakazi wenzako kunaweza kukusaidia kufanikiwa kitaaluma na maisha yako kwa ujulma. Kwa makala hii utagundua kuwa muda mwingi unoutumia kwenye maisha yako ni kuwa pamoja na wafanyakazi wenzako hata kuliko na familia yako au kwingineko. Kuboresha mahusiano yako na watu ni vizuri kibiashara kwani inaongeza […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMWIJAGE AZITAKA KAMPUNI ZA MAFUTA KUBORESHA MAHUSIANO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3DaUejesC5M/VGYeGmSZ4dI/AAAAAAAGxOQ/VPqsFsyGQcU/s72-c/TIC%2BADVERT%2BSWAHILI%2BVERSION.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nMT99zio8hw/VoOfSc-Mn0I/AAAAAAAIPTU/GeVbqdOAwrg/s72-c/Untitled.png)
NINI ATHARI ZA SIMU ZA MIKONONI KATIKA KUJENGA NA KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIJAMII?
![](http://3.bp.blogspot.com/-nMT99zio8hw/VoOfSc-Mn0I/AAAAAAAIPTU/GeVbqdOAwrg/s320/Untitled.png)
Miezi kadhaa iliyopita, niliamka asubuhi na mapema kuwahi mkutano ambao nilikwenda kuhudhuria katika jiji la London, Uingereza. Kwa kuwa nililala nje kidogo ya jiji hili lenye watu kadiri ya milioni kumi, na kwa kua ni mbali kidogo kutoka nilipokua nahudhuria mkutano, nililazimika kupanda treni kwa muda usiopungua kama dakika arobaini hadi nifike kituo cha Euston kilicho chini ya ardhi (underground) na ambapo sio mbali sana na nilipokua...
11 years ago
MichuziVYUO mbalimbali nchini Vyashauriwa kujenga mahusiano ya kirafiki ili kubadilishana uzoefu katika kufanya kazi zao.
5 years ago
BBCSwahili18 Mar
Coronavirus: Njia tano za kufanya kazi kutoka nyumbani
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Zanzibar kuboresha ofisi ya serikali ya mtaa kata ya Tabata
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa UWT ambaye pia ni Kaimu Katibu wa CCM wa Tabata Relini, Shahani Mtwawa, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake mgeni rasmi huyo, aliahidi...
9 years ago
Bongo517 Nov
Watu wanaopenda picha za utupu na filamu za ngono huathiri mahusiano yao ya kimapenzi
![unhappy-man-sad-795x529 (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/unhappy-man-sad-795x529-1-300x194.jpg)
Nilikuwa nasoma makala kwenye gazeti moja nikakutana na habari ya mtu huyu ambaye ameathirika na kitendo cha kutazama picha za ngono na tendo la kufanya punyeto tokea akiwa shule ya sekondari.
Akaendelea kusema kwa sasa amekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitatu lakini tatizo hilo linaendelea ingawa mke wake hajui jambo hilo linavyomsumbua. Kinachotokea ni kwamba anapokuwa peke yake ndani ya nyumba peke yake huangalia picha hizo na kuanza kupiga punyeto, ingawa alidhani angeacha mara tu baada ya...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10