Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NINI ATHARI ZA SIMU ZA MIKONONI KATIKA KUJENGA NA KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIJAMII?

Sehemu ya kwanza: Utangulizi na Chimbuko la Makala
Miezi kadhaa iliyopita, niliamka asubuhi na mapema kuwahi mkutano ambao nilikwenda  kuhudhuria katika jiji la London, Uingereza. Kwa kuwa nililala nje kidogo ya jiji hili lenye watu kadiri ya milioni kumi, na kwa kua ni mbali kidogo kutoka nilipokua nahudhuria mkutano, nililazimika kupanda treni kwa muda usiopungua kama dakika arobaini hadi nifike kituo cha Euston kilicho chini ya ardhi (underground) na ambapo sio mbali sana na nilipokua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Jeshi laonya matumizi mabaya ya simu za mikononi na mitandao ya kijamii

meja+komba

 Msemaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ), Luteni Kanali Erick Komba.

Na Mwandishi wetu.

Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) limetoa onyo kwa vijana na watanzania kwa ujumla kutokana na matumizi mabaya ya simu za mikononi na mitandao ya kijamii, hasa kwa taarifa zinazohusu Jeshi.

Hatua hiyo imekuja baada ya mtu/watu wasiojulikana kusambaza taarifa za uongo kuhusu vijana kwa mujibu wa sheria wanaoendelea na mafunzo katika makambi mbalimbali ya JKT wanakufa kwa ukatili.

Akikanusha taarifa hizo...

 

11 years ago

Michuzi

VYUO mbalimbali nchini Vyashauriwa kujenga mahusiano ya kirafiki ili kubadilishana uzoefu katika kufanya kazi zao.

  Mtembeza wageni wa Kanisa la Mkunazini akiwafahamisha kitu wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kutoka Dar es salam walipokuwa wakitembelea Kanisa hilo.  Wanafunzi wakipata maelezo kwa Mtembeza wageni juu sehemu walipokuwa wakihifadhiwa watumwa Kanisani hapo.  Wanafunzi wakitoka nje kwa furaha mara baada ya kutembelea Kanisa la Mkunazini liliopo Mjini Unguja.   Hapa wanafunzi wakijichagulia katika moja ya maduka ya vinyago na nguo za Kiswahili yaliopo Ngome kongwe Mjini Unguja. 

 

10 years ago

Bongo5

Njia tano za kujenga na kuboresha mahusiano na watu

Unaweza kuwa hujui kwamba kujenga uhusiano mzuri na wenzako au wafanyakazi wenzako kunaweza kukusaidia kufanikiwa kitaaluma na maisha yako kwa ujulma. Kwa makala hii utagundua kuwa muda mwingi unoutumia kwenye maisha yako ni kuwa pamoja na wafanyakazi wenzako hata kuliko na familia yako au kwingineko. Kuboresha mahusiano yako na watu ni vizuri kibiashara kwani inaongeza […]

 

11 years ago

Michuzi

haja ya hoja: Jee unafikiria simu za mikononi zinasaidia vijana wadogo wa vijijini?

Vijana wakifurahia simu zao za mkononi huko Unguja, Shamba.  Picha na Sabry Juma

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUJADILI TAARIFA YA TATHIMINI YA ATHARI ZA KIJAMII NA MAZINGIRA YA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA NGERENGERE HADI KIDUNDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Said Mecky Sadiki akitoa maelezo machache kuhusu suala la upatikanaji wa maji Mkoani mwake, katika warsha iliyofanyika katika hoteli ya Nashera mjini Morogoro.  Mkuu wa Mkoa wa Pwani,  Mhe. Mwantumu Mahiza , akitoa salamu pamoja na umuhimu wa ushirikishwaji wadau mbalimbali katika kulinda mazingira na vyanzo vya maji. Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

PROGRAMU MPYA YA KUJIFUNZA SOMO LA HISABATI KWA KUTUMIA SIMU ZA MIKONONI YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia,Mh.Jonh Mgodo akizungumza mapema leo mbele ya Wanahabari kuhusiana na uzinduzi wa Programu mpya ya kujifunza somo la hisabati kwa kutumia simu za mikononi. Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia,Mh.Jonh Mgodo akizungumza mapema leo mbele ya Wanahabari katika ukumbi wa COSTECH,Sayansi Kijitonyama,jijini Dar kuhusiana na uzinduzi wa Programu mpya ya kujifunza somo la hisabati kwa kutumia simu ya mikononi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini uko facebook na mitandao mingine ya kijamii

Hujambo ndugu yangu! Bila shaka Mungu anaendelea kukupendelea kwa maana ya kukuacha uendelee kutumia pumzi yake na hata kukupa uwezo wa kuona, maana kuna wengi wangependa hayo, lakini wameshindwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani