Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VYUO mbalimbali nchini Vyashauriwa kujenga mahusiano ya kirafiki ili kubadilishana uzoefu katika kufanya kazi zao.

  Mtembeza wageni wa Kanisa la Mkunazini akiwafahamisha kitu wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kutoka Dar es salam walipokuwa wakitembelea Kanisa hilo.  Wanafunzi wakipata maelezo kwa Mtembeza wageni juu sehemu walipokuwa wakihifadhiwa watumwa Kanisani hapo.  Wanafunzi wakitoka nje kwa furaha mara baada ya kutembelea Kanisa la Mkunazini liliopo Mjini Unguja.   Hapa wanafunzi wakijichagulia katika moja ya maduka ya vinyago na nguo za Kiswahili yaliopo Ngome kongwe Mjini Unguja. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SUDAN KUSINI WAFANAYA ZIARA YA MAFUNZO YA KUBADILISHANA UZOEFU NA WATENDAJI WA SEKTA YA UJENZI NCHINI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga (wa kwanza kulia), akizungumza na viongozi wa ujumbe wa Serikali ya Sudan Kusini waliomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam jana.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga, akizungumza katika kikao cha mafunzo ya kubadilishana uzoefu katika masuala ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na viongozi wa Sudan Kusini. (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi Eng. Venny Ndaymukama,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watumishi wa kada za afya nchini watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili na viapo vya taaluma zao

IMG-20160105-WA0026

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.

IMG-20160105-WA0030

Wauguzi wa wodi ya akinamama katika hospitali teule ya mkoa wa Geita.

IMG-20160105-WA0029

Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.

IMG-20160105-WA0031

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania

Dar es Salaam, TANZANIA.  Leo asubuhi, Balozi wa Tanzania nchini Tanzania Mark Childress amewaapisha wafanyakazi wa kujitolewa wa Kimarekani (Peace Corps Volunteers) wapatao 59 ili kuanza huduma yao ya miaka miwili nchini Tanzania. Hafla ya kuwaapisha wafanyakazi hao ilifanyika katika viwanja vya Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ukaguzi wa Shule ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Edicome Cornel Shirima, Mkurugenzi Mkazi wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAAFISA WAANDAMIZI KUTOKA MABUNGE YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA KUBADILISHANA UZOEFU KAMPALA



 Maafisa Waandamizi kutoka Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya Pamoja wakati wa Semina ya siku nne iliyowakutanisha kwa lengo la kubadilishana Uzoefu, Mjini Kampala - Uganda. Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Kimataifa kutoka Bunge la Tanzania Ndg. Jossey Mwakasyuka akifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa warsha ya kubadilishana uwezo iliyowakutanisha Maafisa waandamizi kutoka Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki Mjini Kampala Uganda, jana.
KWA...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

 Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani), katika semina ya siku moja juu ya Fursa zinazopatikana kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF, iliyofanyika jana jijini Mwanza Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.
Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye...

 

9 years ago

Michuzi

NINI ATHARI ZA SIMU ZA MIKONONI KATIKA KUJENGA NA KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIJAMII?

Sehemu ya kwanza: Utangulizi na Chimbuko la Makala
Miezi kadhaa iliyopita, niliamka asubuhi na mapema kuwahi mkutano ambao nilikwenda  kuhudhuria katika jiji la London, Uingereza. Kwa kuwa nililala nje kidogo ya jiji hili lenye watu kadiri ya milioni kumi, na kwa kua ni mbali kidogo kutoka nilipokua nahudhuria mkutano, nililazimika kupanda treni kwa muda usiopungua kama dakika arobaini hadi nifike kituo cha Euston kilicho chini ya ardhi (underground) na ambapo sio mbali sana na nilipokua...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yapanga kujenga makazi ya watumishi ili kuleta Ufanisi Wa Kazi

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amesema Wizara yake inaangalia uwezekano wa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI na ile ya Utumishi wa Umma kuhakikisha watumishi wa Umma wanakuwa na nyumba bora ili kuwawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Amesema watumishi wanaoishi vijijini ndiyo wanaoathirika zaidi kutokana na kukosa makazi bora hatua inayowafanya wengi wao kushindwa kumudu kufanya kazi zao na...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

  Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani