Watu wanaopenda picha za utupu na filamu za ngono huathiri mahusiano yao ya kimapenzi
Nilikuwa nasoma makala kwenye gazeti moja nikakutana na habari ya mtu huyu ambaye ameathirika na kitendo cha kutazama picha za ngono na tendo la kufanya punyeto tokea akiwa shule ya sekondari.
Akaendelea kusema kwa sasa amekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitatu lakini tatizo hilo linaendelea ingawa mke wake hajui jambo hilo linavyomsumbua. Kinachotokea ni kwamba anapokuwa peke yake ndani ya nyumba peke yake huangalia picha hizo na kuanza kupiga punyeto, ingawa alidhani angeacha mara tu baada ya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Je ngono huathiri wachezaji uwanjani?
10 years ago
GPL17 May
10 years ago
Bongo524 Sep
Picha: Amber Rose ashare picha yake ya utupu Instagram (18+)
9 years ago
Bongo519 Oct
Morgan Heritage watumia picha ya kampeni za CCM Mwanza kudai ni watu waliohudhuria show yao ya Nairobi
9 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Khloe Kardashian naye apiga picha ya utupu kwenye cover la kitabu chake ‘Strong Looks Better Naked’ (18+)
10 years ago
Bongo517 Dec
Picha: Waziri mwanamke wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
The Sun kutoshapisha picha za utupu