DUDE NAYE ALILIA UBUNGE!
![](http://api.ning.com/files/U7YWT3FNhpzqOFcApZJeHKjCCFUYhbT6WQ5W2wXS74uwSVAhFgC7lwNmlNGVLz78ERMdTNh5fUBHgyg9A8ym6rKo63ICUay0/dude.jpg?width=650)
Msanii wa maigizo na filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Na Gladness Mallya WIMBI la wasanii kuingia kwenye siasa limeendelea kushika kasi ambapo awamu hii msanii wa maigizo na filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ametangaza kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015. ‘Akistorisha’ na paparazi wetu, Dude alisema kutokana na sanaa kutotoa masilahi ipasavyo, ameamua kuingia kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt7gmlgEix3Tx*hU8RiqRkjxBTONPKUetJZn7qHyK1H9TXznIUBerAxSnHr*ljHtdIZl7OxCp*I1V7I1ApASZyYk/MAINDA.jpg?width=650)
MAINDA ALILIA MTOTO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-D5NJaF0WwB8/U4xbas_qRLI/AAAAAAAFnOg/GmBQwztGzeg/s72-c/unnamed+(26).jpg)
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Terry alilia penalti
KIEV, Urusi
BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.
Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.
“Bado tupo vizuri,...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Mjumbe alilia Ipad bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kutoa vioja kwa kuibua hoja ikiwemo ile ya kutaka simu za Ipad zenye uwezo mkubwa wa kufanya shughuli mbalimbali za kimawasiliano. Aliyetoa wazo...
10 years ago
Mwananchi02 Nov
JK alilia soka la vijana nchini
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Mwijage alilia fedha za katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Charles Mwijage, amesema serikali imetumia fedha nyingi katika mchakato wa katiba badala ya kujielekeza kutatua kero sugu za wananchi. Mwijage ambaye pia ni mbunge...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msola alilia nyongeza ya bajeti
SERIKALI imetakiwa kuongeza kiwango cha bajeti kinachotengwa kwenye utafiti kwa lengo la kukuza uchumi na maendeleo ya taifa. Hayo yalisema mjini hapa juzi na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4jF2NCPiUVzey1XJx8*aVzH5EFh7INJOlsOU*vpHwIfcXaU-cj3Ow2dMTUs-Z0fGotknA-SaKF0213-gPZD1*iE/Riyana.gif?width=650)
RIYAMA ALLY ALILIA NDOA!
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/LULU567.png)
ETI LULU ALILIA KUZAA