Terry alilia penalti
KIEV, Urusi
BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.
Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.
“Bado tupo vizuri,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76805000/jpg/_76805062_hi023393729.jpg)
Drogba as good as ever - Terry
10 years ago
Uhuru NewspaperMourinho amwagia sifa Terry
Mourinho alisema katika kipindi kirefu ameweza kumshawishi Terry kuendelea kuichezea timu hiyo licha ya kutaka kuondoka mara kwa mara.Kocha huyo alisema kila Terry alivyotaka kuondoka alimzuia kwani alikuwa muhimu sana katika kikosi chake na ndio maana alikuwa akimzuia."Nimekuwa nikimzuia Terry kuondoka kwa kuwa mimi kama kocha najua umuhimu wake kwani ameweza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bDmjSM9kXXaKt14O2o3fMCN54cdAPvvnzXmwU0ksBMIqPCUqHquUWyxqbTvhUIjGAm52VZRT84ZTF4QWhrM1BziG85bOAKTJ/1DAR2.jpg?width=650)
Du! Penalti
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Nataka Mkataba wa miezi 12: John Terry
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
John Terry aongezewa mkataba Chelsea
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Jose Mourinho ashambuliwa na mashabiki, kisa Terry
![jose-mourinho_epa_2587091k](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/jose-mourinho_epa_2587091k-300x187.jpg)
MASHABIKI wa klabu ya Chelsea wamemtupia lawama kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho, baada ya kumuweka benchi beki wake, John Terry katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Porto.
Mchezo huo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Dragao nchini Ureno, Chelsea ilikubali kichapo cha mabao 2-1, huku beki wake akiachwa benchi na kocha huyo.
Kitendo hicho kiliwafanya mashabiki watume ujumbe mbalimbali katika klabu hiyo wa kudai kwamba wanamtaka beki huyo kupewa nafasi ya kuanza kama...
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Sure Boy agoma penalti
5 years ago
Bongo514 Feb
John Terry ataondoka Chelsea mwishoni mwa msimu
Klabu ya Chelsea imetangaza rasmi kuwa Nahodha wao John Terry ataondoka klabuni hapo baada ya msimu huu kumalizika.
Beki huyo ambaye ni raia wa uengereza ana umri wa miaka 36, ameichezea Chelsea mechi 713 na kufunga magoli 66 tangu ajiunge nao mwaka 1998.
Ni mchezaji wa tatu kwa kushiriki mechi nyingi za klabu hapo na amekuwa nahodha wa klabu hiyo kwa rekodi ya mara 578.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town!...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6bm9*nuyxC8yV1UQCWD3sCTNVWdzV-P2HmiznAlZ5Gqs21jIG*ltZxKXqdf*w0fc3hy*Oa1bio3ex8-h2BouXtq/penalti.jpg?width=600)
Penalti za Cannavaro, mbwembwe 100%