Penalti za Cannavaro, mbwembwe 100%
![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6bm9*nuyxC8yV1UQCWD3sCTNVWdzV-P2HmiznAlZ5Gqs21jIG*ltZxKXqdf*w0fc3hy*Oa1bio3ex8-h2BouXtq/penalti.jpg?width=600)
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Lucy Mgina na Sweetbert Lukonge NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ana mbwembwe, baada ya kufanikiwa kufunga penalti kwa ufundi katika mechi dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Taifa, juzi, ametoa tambo zake kuwa huwa anapiga penalti 15 kabla ya kuingia uwanjani. Cannavaro ambaye hiyo ni penalti yake ya pili kupiga kiufundi na kufunga baada ya kufanya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R82pK8DBdCEZtH-0-aEbUCRuVMKVeJqQFT15jzPT4YxAp8f*X6umff3jdYfAF488YaOhcmAAF51b7aPAFIy8V6R/2.jpg?width=550)
Al Ahly waichambua penalti ya Cannavaro dakika 10
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bDmjSM9kXXaKt14O2o3fMCN54cdAPvvnzXmwU0ksBMIqPCUqHquUWyxqbTvhUIjGAm52VZRT84ZTF4QWhrM1BziG85bOAKTJ/1DAR2.jpg?width=650)
Du! Penalti
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Terry alilia penalti
KIEV, Urusi
BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.
Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.
“Bado tupo vizuri,...
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Sure Boy agoma penalti
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Penalti zawabeba Mtibwa, Polisi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IxPfzOrgAhe4AkdkGCX53jdqM4CtH3t-yxLRAg-95d*KqUMN1YQPTQTTxIOf5OojjuGID4hWi8WthN-MjqHYj0ZddmrTRHc-/19.jpg?width=650)
Penalti ya Ajibu yamliza Okwi
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Refarii aliyekataa kutoa penalti afungiwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZeGZhW0maxm5x*khtiOHEAbjM3caY-xkeJWDwZaTb-xvuDQ*38yzpcBjBUEFl0o2rKzcG6yEwH9BwRrO3njSRwd/MESIIIIIIIIIIIII.jpg?width=600)
Kipa aliyedaka penalti ya Messi asimulia
9 years ago
Habarileo24 Oct
Kamusoko, Msuva wakosa penalti tena
WACHEZAJI Thaban Kamusoko, Vicent Bossou na Simon Msuva wamekosa penalti wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.