Al Ahly waichambua penalti ya Cannavaro dakika 10
![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R82pK8DBdCEZtH-0-aEbUCRuVMKVeJqQFT15jzPT4YxAp8f*X6umff3jdYfAF488YaOhcmAAF51b7aPAFIy8V6R/2.jpg?width=550)
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. WACHAMBUZI wa masuala ya soka katika runinga ya Al Ahly, wametumia takribani dakika kumi wakiichambua penalti ya kwanza ya Yanga iliyopigwa na nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Zaidi wachambuzi hao walikuwa wakitumia neno halua, kuonyesha ni kitu kizuri na namna ambavyo kipa wa kikosi chao alivyoteseka. Cannavaro ndiye alikuwa wa kwanza kupiga penalti...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6bm9*nuyxC8yV1UQCWD3sCTNVWdzV-P2HmiznAlZ5Gqs21jIG*ltZxKXqdf*w0fc3hy*Oa1bio3ex8-h2BouXtq/penalti.jpg?width=600)
Penalti za Cannavaro, mbwembwe 100%
10 years ago
Mtanzania20 Mar
Wasomi waichambua Ukawa
SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
SIKU moja baada ya Kamati Maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoa mapendekezo ya ugawaji wa majimbo 211 kati ya 239, wasomi na wachambuzi wa siasa wametoa maoni yao.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wasomi na wachambuzi hao wa siasa pamoja na mambo mengine, walisema bado Ukawa wanatakiwa kueleza umma namna watakavyoandaa ilani yao na kuinadi mbele ya wananchi.
DK. BANA
Akitoa maoni yake jijini Dar es Salaam, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es...
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Pluijm, Rage waichambua Stars
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Wasomi waichambua kamati ya kampeni CCM
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya Chama Cha Mapiduzi (CCM) kutangaza vigogo 32 wanaounda kamati ya kampeni ya mgombea urais wa chama hicho, baadhi ya wachambuzi na wasomi wameikosoa timu hiyo wakisema haina jipya.
Akizungumza jana kwa simu, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), Profesa Gaudens Mpangala, alisema anashangazwa na wingi wa wajumbe wa timu hiyo akisema ni dhahiri mwaka huu chama hicho tawala kinakabiliwa na upinzani mkali.
“Nimeshangazwa na uwingi wa...
9 years ago
Vijimambo20 Aug
Wasomi waichambua timu ya kampeni ya CCM.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/bana-20August2015.jpg)
Wanazuoni na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameichambua kwa kutoa maoni tofauti timu ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema timu ya CCM imeundwa na makada wenye uwezo mbalimbali wakiwamo wa kurusha makombora makali kwa upinzani.
Alisema: “Unaweza kuona kamati hii ilivyopangwa imekamilika kwa sababu kuna watu wa kutoa mapigo na wenye busara kama akina...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bDmjSM9kXXaKt14O2o3fMCN54cdAPvvnzXmwU0ksBMIqPCUqHquUWyxqbTvhUIjGAm52VZRT84ZTF4QWhrM1BziG85bOAKTJ/1DAR2.jpg?width=650)
Du! Penalti
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Terry alilia penalti
KIEV, Urusi
BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.
Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.
“Bado tupo vizuri,...
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Sure Boy agoma penalti