Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi waichambua timu ya kampeni ya CCM.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana.
Wanazuoni na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameichambua kwa kutoa maoni tofauti timu ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema timu ya CCM imeundwa na makada wenye uwezo mbalimbali wakiwamo wa kurusha makombora makali kwa upinzani.

Alisema: “Unaweza kuona kamati hii ilivyopangwa imekamilika kwa sababu kuna watu wa kutoa mapigo na wenye busara kama akina...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wasomi waichambua kamati ya kampeni CCM

Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Chama Cha Mapiduzi (CCM) kutangaza vigogo 32 wanaounda kamati ya kampeni ya mgombea urais wa chama hicho, baadhi ya wachambuzi na wasomi wameikosoa timu hiyo wakisema haina jipya.

Akizungumza   jana kwa   simu, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), Profesa Gaudens Mpangala,  alisema anashangazwa na wingi wa wajumbe wa timu hiyo akisema ni dhahiri mwaka huu chama hicho tawala kinakabiliwa na upinzani mkali.

“Nimeshangazwa   na uwingi wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Wasomi waichambua Ukawa

ukawaSHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
SIKU moja baada ya Kamati Maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoa mapendekezo ya ugawaji wa majimbo 211 kati ya 239, wasomi na wachambuzi wa siasa wametoa maoni yao.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wasomi na wachambuzi hao wa siasa pamoja na mambo mengine, walisema bado Ukawa wanatakiwa kueleza umma namna watakavyoandaa ilani yao na kuinadi mbele ya wananchi.

DK. BANA
Akitoa maoni yake jijini Dar es Salaam, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi wachambua kasoro za kampeni

Baadhi ya wasomi wamesema hawajaridhishwa na jinsi kampeni za kuwania urais, ubunge na udiwani zinavyoendeshwa.

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waguswa ‘zuio’ kampeni Katiba mpya

Rais Jakaya KikweteBAADHI ya wasomi nchini wamepongeza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete inayosisitiza juu ya umuhimu wa wanasiasa kuacha kufanya kampeni zinazohusu Katiba Pendekezwa hadi muda wa kufanya hivyo utakapowadia kwa mujibu wa sheria.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi watoa mitazamo tofauti uzinduzi wa kampeni za Ukawa

Wakati joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupanda baada ya vyama vinavyounda ukawa kuzindua kampeni zake juzi, baadhi ya wasomi na wananchi wamekuwa na maoni tofauti.

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU

Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa-Meatu Ndg.Mpina wakiwasili Uwanja wa Mkutano hii leo wakati wa Ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Mapokezi ya Mgombea Ubunge Jimbo la kisesa wakati wa Mkutano wa kufungua kampeni za Ubunge na Udiwani hii leo.Mwigulu NChemba akisalimiana na Wananchi wa Kisesa hii leo alipokwenda kufanya ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Makada wa chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kufungua Kampeni Jimbo la Kisesa.Kada Mtiifu wa Chama cha...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waitabiria CCM ushindi

Dk John MagufuliWASOMI na wanaharakati mbalimbali nchini kwa kumteua Dk John Magufuli kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, chama hicho kimempata mgombea sahihi, asiye na makundi pia kimezingatia jinsia baada ya kumchagua mgombea mwenza mwanamke, Samia Suluhu Hassan.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yatumia wasomi vibaya

JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupigania mfumo wa serikali mbili zimechukua sura mpya baada ya kubainika kwamba sasa kimeamua kuwatumia wasomi 100, wakiwemo maprosesa kutunga kitabu kutetea msimamo wake...

 

10 years ago

Habarileo

Nape- Wasomi acheni kuisifu CCM

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, wasomi wasikisifu chama hicho, bali wakikosoe ili iwe chachu ya mabadiliko ndani ya chama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani