Wasomi waichambua kamati ya kampeni CCM
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya Chama Cha Mapiduzi (CCM) kutangaza vigogo 32 wanaounda kamati ya kampeni ya mgombea urais wa chama hicho, baadhi ya wachambuzi na wasomi wameikosoa timu hiyo wakisema haina jipya.
Akizungumza jana kwa simu, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), Profesa Gaudens Mpangala, alisema anashangazwa na wingi wa wajumbe wa timu hiyo akisema ni dhahiri mwaka huu chama hicho tawala kinakabiliwa na upinzani mkali.
“Nimeshangazwa na uwingi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo20 Aug
Wasomi waichambua timu ya kampeni ya CCM.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/bana-20August2015.jpg)
Wanazuoni na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameichambua kwa kutoa maoni tofauti timu ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema timu ya CCM imeundwa na makada wenye uwezo mbalimbali wakiwamo wa kurusha makombora makali kwa upinzani.
Alisema: “Unaweza kuona kamati hii ilivyopangwa imekamilika kwa sababu kuna watu wa kutoa mapigo na wenye busara kama akina...
10 years ago
Mtanzania20 Mar
Wasomi waichambua Ukawa
SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
SIKU moja baada ya Kamati Maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoa mapendekezo ya ugawaji wa majimbo 211 kati ya 239, wasomi na wachambuzi wa siasa wametoa maoni yao.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wasomi na wachambuzi hao wa siasa pamoja na mambo mengine, walisema bado Ukawa wanatakiwa kueleza umma namna watakavyoandaa ilani yao na kuinadi mbele ya wananchi.
DK. BANA
Akitoa maoni yake jijini Dar es Salaam, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/f-MjeoJgNE4/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-0wanJlZ6PiE/VdLvMH8fEJI/AAAAAAAAxw8/PAQKMvFbgm8/s72-c/CCM%2BCOLOUR.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun0WhdfHjNLfO5wWbjefCXuyksJLsuYTUAK53-4xsJTWfTrBQUo0JMy3McC*HnRNgl*XDMeblTE-jAdGI9-ayZAV/CCMCOLOUR.jpg)
9 years ago
MichuziKAMATI YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI YASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL HAJJ MKOANI GEITA LEO
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Wasomi wachambua kasoro za kampeni