Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YATANGAZA KAMATI YA KAMPENI ZAKE KATIKA UCHAGUZI MKUU

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Michuzi

CCM YAENDELEA NA MBIO ZAKE KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE


Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo Machi 29,2014.
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Suleiman Jaffo akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mandera Kibaoni wakati akimuombea Kura Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU ZA CHAMA CHA CCM LEO

Mzee akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.



Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi leo katika viwanja vya Jangwani  jijini Dar es Salaam. Furaha imetawala kwenye mioyo ya wanaCCM kama inavyoonekana kwenye taswira yetu hapo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana kuongoza kikosi cha Kamati ya Kampeni Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015

 

DSCF8406

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa kamati ya Kampeni  kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015, ambayo itaongozwa  na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na  Wajumbe.

Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali.

Friday, October 23, 2015 Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali. CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania. Kufunga Kampeni CCM […]

The post Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Vijimambo

CCM JIMBO LA KAWE YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU YAMNADI KIPPI WARIOBA


Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba (katikati mbele), akisindikizwa na wanachama wa chama hicho, alipowasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju, wakati CCM ilipozindua kampeni kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam jana. PICHA/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kulia) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani