Wasomi wachambua kasoro za kampeni
Baadhi ya wasomi wamesema hawajaridhishwa na jinsi kampeni za kuwania urais, ubunge na udiwani zinavyoendeshwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania27 May
Wasomi wachambua kauli ya Lowassa
GRACE SHITUNDU NA MICHAEL SARUNGI,
DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuweka wazi majaliwa yake ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu yale anayoaamini na kuyasimamia katika taifa, wasomi na wadau wa siasa nchini wamechambua kauli ya kiongozi huyo.
Lowassa juzi alizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Dodoma na kutangaza msimamo wake wa siasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vipaumbele vyake, elimu, kupambana na umaskini.
Wakizungumza...
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Mtandao waeleza kasoro za kampeni
9 years ago
Vijimambo20 Aug
Wasomi waichambua timu ya kampeni ya CCM.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/bana-20August2015.jpg)
Wanazuoni na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameichambua kwa kutoa maoni tofauti timu ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema timu ya CCM imeundwa na makada wenye uwezo mbalimbali wakiwamo wa kurusha makombora makali kwa upinzani.
Alisema: “Unaweza kuona kamati hii ilivyopangwa imekamilika kwa sababu kuna watu wa kutoa mapigo na wenye busara kama akina...
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Wasomi waichambua kamati ya kampeni CCM
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya Chama Cha Mapiduzi (CCM) kutangaza vigogo 32 wanaounda kamati ya kampeni ya mgombea urais wa chama hicho, baadhi ya wachambuzi na wasomi wameikosoa timu hiyo wakisema haina jipya.
Akizungumza jana kwa simu, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), Profesa Gaudens Mpangala, alisema anashangazwa na wingi wa wajumbe wa timu hiyo akisema ni dhahiri mwaka huu chama hicho tawala kinakabiliwa na upinzani mkali.
“Nimeshangazwa na uwingi wa...
10 years ago
Habarileo06 Nov
Wasomi waguswa ‘zuio’ kampeni Katiba mpya
BAADHI ya wasomi nchini wamepongeza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete inayosisitiza juu ya umuhimu wa wanasiasa kuacha kufanya kampeni zinazohusu Katiba Pendekezwa hadi muda wa kufanya hivyo utakapowadia kwa mujibu wa sheria.
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Wasomi watoa mitazamo tofauti uzinduzi wa kampeni za Ukawa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyDgsXHkaUITfBNdxA9vI4-vsBz3Los6OyN-yWBpsBRMg4RIo0s7LDlP8sR8JsBj0agBUTJgsZObiISzz87a3s4db-FbbIuX/RaisJakayaMrishoKikwete.jpg?width=650)
WANANCHI WACHAMBUA UONGOZI WA JK
9 years ago
Habarileo12 Sep
Wasanii wachambua mustakabali wa sanaa
WASANII takriban 70 wameshiriki jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kuchambua mada mbalimbali kuhusu mustakabali wa sanaa nchini.
10 years ago
Mtanzania14 Jan
Wachambua matumizi ya fedha CCM
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru kuzungumzia matumizi ya fedha kwa watu wanaotajwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), baadhi ya wasomi na wanasiasa wamemuunga mkono, huku wengine wakitaka uandaliwe utaratibu wa matumizi ya fedha.
Pamoja na hilo, pia makada wa CCM wanaolalamikia matumizi ya fedha ndani ya chama wametakiwa kutoa ushahidi au kupeleka ushahidi kwenye vyombo vinavyohusika.
Akizungumzia suala hilo mbele...