Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtandao waeleza kasoro za kampeni

Mtandao wa Kuangalia Chaguzi Tanzania (Tacceo), umetoa ripoti kuhusu kampeni za Uchaguzi Mkuu zilizoanza Agosti 23, huku ukiweka wazi ‘madoa’ yanayozichafua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Arusha waeleza kuzipokea vema sheria ya mtandao

Sheria za makosa ya mtandao na miamala ya kielektoniki za mwaka 2015 zimeonesha kupokelewa vema na wakazi wa jiji la Arusha kutokana na adha mbalimbali walizokuwa wanakabiliana nazo kabla ya kuanza kwa sheria hizo.

Wakazi hao wameonesha kufurahishwa na jitihada zinazofanywa na Serikali kupambana na makosa ya mtandao hasa katika nyakati hizi ambapo matukio ya namna hiyo   yameshamri.

 

Wakati wananchi wakizungumza hayo Wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia imeandaa kikao...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi wachambua kasoro za kampeni

Baadhi ya wasomi wamesema hawajaridhishwa na jinsi kampeni za kuwania urais, ubunge na udiwani zinavyoendeshwa.

 

9 years ago

Habarileo

Mtandao wapokea malalamiko1,122 ya kampeni

MTANDAO wa asasi za kiraia wa kuangalia chaguzi Tanzania (TACCEO) umesema tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi wamepokea jumla ya matukio 1,122 ikiwemo ya kampeni kupitiliza muda kisheria na matumizi ya lugha za kudhalilisha utu.

 

5 years ago

BBCSwahili

#HakiKwaUwa, kampeni ya mtandao baada ya mwanafunzi kuuawa kanisani Nigeria

Kuna ghadhabu nchini Nigeria baada ya mauaji ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 22, Uwavera Omozuwa aliyeuawa kanisani.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUELIMISHA JAMII DHIDI YA MAKOSA MTANDAO YASHIKA KASI

Kufuatia mpango kabambe wa kuelimisha jamii dhidi ya makosa mtandao tayari kumekua na video za katuni, Mchezo wa komputa “Computer gane”, majarida ya katuni pamoja na machapisho mengine yote yakiwa na lengo la kutoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kujilinda dhidi ya makosa mtandao kuanzia ngazi ya mtu binafsi hadi kufikia ngazi ya kitaifa. Picha: Mfano wa Vijarida vinavyo toa elimu dhidi ya usalama mtandao. Aidha, Bwana. Yusuph Kileo ametoa wito kwa vyombo vya habari nchini kuangalia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

10 years ago

Michuzi

from mji kasoro bahari....

Dear friends;Motown Club - Morogoro (formerly 4Stars) present Motown KunaMambo starting 3rd of April 2015 and every Friday from 7:00pm; come dine and dance to the live sounds of Afro Jazz, Salsa, Rhumba,Charanga, Raggae and much more!...with a gate contribution of 10,000tsh per person; Cash bar, delicious food and snacksRespect yourself, do not miss this! Karibu

Inline image

 

11 years ago

GPL

Watunisia waeleza umafia wa Okwi

Mshambuliaji, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Etoile Du Sahel ya Tunisia kwa mara ya kwanza umetoa taarifa ambayo haikuwahi kutolewa kuhusiana na mshambuliaji, Emmanuel Okwi kwa kusema alitoroka ‘kimafia’ nchini Tunisia na kusema ilikuwa kama sinema. Etoile wamesema Okwi alizuiwa kwenda kuichezea timu ya taifa ya Uganda iliyokuwa inaivaa Liberia, lakini aliamua kutoroka bila ya taarifa yoyote kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waeleza sababu za kukwama

WAFANYABIASHARA wadogo nchini wametaja sababu zinazowakwamisha katika biashara zao kuwa ni riba kubwa inayotozwa na mabenki, ukosefu wa masoko na kodi zisizofuata utaratibu. Wakizungumza katika semina iliyoandaliwa na kampuni inayojihusisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani