Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watunisia waeleza umafia wa Okwi

Mshambuliaji, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Etoile Du Sahel ya Tunisia kwa mara ya kwanza umetoa taarifa ambayo haikuwahi kutolewa kuhusiana na mshambuliaji, Emmanuel Okwi kwa kusema alitoroka ‘kimafia’ nchini Tunisia na kusema ilikuwa kama sinema. Etoile wamesema Okwi alizuiwa kwenda kuichezea timu ya taifa ya Uganda iliyokuwa inaivaa Liberia, lakini aliamua kutoroka bila ya taarifa yoyote kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watunisia waitia presha Yanga

Presha imeanza kupanda kwa wachezaji wa Yanga baada ya kukiri kuwa wana kazi ngumu ya kuitoa Etoile du Sahel ya Tunisia katika raundi inayofuata ya Kombe la Shirikisho Afrika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wafanya umafia

HARAKATI za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuharibu kanuni za uendeshaji wa Bunge Maalumu la Katiba zimechukua sura mpya baada ya kuwepo taarifa za ‘kuchomeka’ majedwali bandia. Majedwali hayo yanatarajiwa kuwasilishwa...

 

11 years ago

GPL

MKWASA AFANYA UMAFIA CAIRO

Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa akiwaongoza wachezaji wake katika mazoezi. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amefanya umafia na kufanikiwa kuingia kuiona Al Ahly ikipambana na CS Sfaxien ya Tunisia kwenye Uwanja wa Jeshi jijini Cairo, Misri. Mechi hiyo ya jana ilikuwa ni ya Kombe la Super Cup na ilimkutanisha Al Ahly, bingwa wa Ligi ya Mabingwa na Sfaxien, bingwa wa Kombe la...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaifanyia umafia CCM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeweka mkakati utakaowafanya makada wake wavamie majimbo yanayoshikiliwa mapema na CCM, huku wakichelea kuingia kwenye majimbo yaliyo chini ya chama hicho kikuu cha upinzani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe chalaani umafia wa EWULA

BAADA ya kunyaka habari za kunyotoana roho kunakofanywa na wanaotuibia, Kijiwe kimekaa kutoa tamko. Msomi Mkatatamaa ndiye anayelianzisha baada ya kuingia. “Waheshimiwa mnaona na kushuhudia yale ambayo nimekuwa nikionya mara...

 

10 years ago

GPL

Maximo atumia umafia kuimaliza Azam

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amesema atatumia upungufu aliuona dhidi ya wapinzani wao Azam FC katika mechi za michuano ya Kombe la Kagame kuifunga timu hiyo huku akikiri kuwa mchezo huo utakuwa mgumu. Timu hizo zinatarajiwa kujitupa uwanjani kesho Jumapili katika mechi ya Ngao ya Jamii itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es… ...

 

9 years ago

GPL

BOSI AMFANYIA UMAFIA HAUSIGELI WAKE!

UMAFIA wa kutisha! Dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Mariamu mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amefanyiwa umafia kama siyo unyama wa kutisha na bosi wake aliyekuwa akimfanyia kazi za ndani.  Mariamu akiwa na majeraha mwilini baada ya kujeruhiwa na bosi wake. Mariam aliliambia gazeti hili juzi kuwa, tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili ya Septemba 13, mwaka huu nyumbani kwa bosi wake huyo aitwaye David maeneo ya Kinondoni...

 

10 years ago

Mwananchi

Waeleza sababu za kufukuzwa kazi

Makocha wa timu za Ligi Kuu ambao ajira zao zilisitishwa wakati msimu ukiendelea au baada ya kumalizika wamefunguka na kueleza sababu tatu zilizowaondoa kuendelea kuzitumikia klabu zao.

 

11 years ago

Habarileo

Bagamoyo waeleza wanavyonufaika na Tasaf

MTANDAO wa wabunge katika mashirika ya fedha ya kimataifa wametembelea wanavijiji wanaonufaika na mradi wa utoaji fedha kwa kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wilayani Bagamoyo na kujiridhisha na utekelezaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani