Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watunisia waitia presha Yanga

Presha imeanza kupanda kwa wachezaji wa Yanga baada ya kukiri kuwa wana kazi ngumu ya kuitoa Etoile du Sahel ya Tunisia katika raundi inayofuata ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

11 Yanga wamshusha presha Pluijm

Hans-Van-De-PluijmNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amechekelea hatua ya kurejea kikosini kwa nyota wake waliokuwa kwenye timu za Taifa zilizoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji nchini Ethiopia, ambapo amedai sasa ndoto ya kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaweza kutekelezeka.

Kurejea kwa nyota hao kumesaidia kumshusha presha Pluijm, ambaye awali alidai kuwa michuano hiyo imemtibulia mipango yake kutokana na mikakati aliyojiwekea ya kuhakikisha anawapa...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaitia presha Yanga

>Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema hatma ya ubingwa kwa timu yake itajulikana kesho wakati watakapowakabili vinara wa Ligi Kuu, Azam kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Msola: Simba ilitulia, presha ilitawala Yanga

Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars, Mshindo Msola amesema Simba ilitulia na ilikuwa na nguvu zaidi ya kushambulia wakati Yanga walipwaya upande wa walinzi wa pembeni kwa sababu ya presha wakati timu hizo zilipokutana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.

 

11 years ago

GPL

COUTINHO, TEGETE WAIPA PRESHA YANGA IKIIVAA AZAM

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho. Na Wilbert Molandi DAKTARI wa Klabu ya Yanga, Juma Sufiani, ametamka kuwa hatma ya kiungo wao mshambuliaji, Andrey Coutinho kuwavaa wapinzani wao, Azam FC, inatarajiwa kujulikana leo Ijumaa jioni. Timu hizo zinatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi ya Ngao ya Jamii, keshokutwa Jumapili, ambapo kiungo huyo raia wa Brazil ni majeruhi kama ilivyo...

 

11 years ago

GPL

Watunisia waeleza umafia wa Okwi

Mshambuliaji, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Etoile Du Sahel ya Tunisia kwa mara ya kwanza umetoa taarifa ambayo haikuwahi kutolewa kuhusiana na mshambuliaji, Emmanuel Okwi kwa kusema alitoroka ‘kimafia’ nchini Tunisia na kusema ilikuwa kama sinema. Etoile wamesema Okwi alizuiwa kwenda kuichezea timu ya taifa ya Uganda iliyokuwa inaivaa Liberia, lakini aliamua kutoroka bila ya taarifa yoyote kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi wa Museveni waitia kiwewe Marekani

>Siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni kusaini sheria inayotoa adhabu kali kwa wapenzi wa jinsi moja, Marekani imesema inaangalia upya uhusiano wake na nchi hiyo kama ilivyoainisha awali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi waitia kilabu mashakani Brazil

Mlinda lango mweusi aliyebaguliwa kirangi nchini Brazil akataa msamaha.

 

10 years ago

Raia Tanzania

‘Mkwanja’ waitia wazimu Stand United

BAADA ya kuingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya madini Acacia Mining, uongozi wa timu ya Stand United ya Shinyanga, umesema una fedha za kumsajili mchezaji yeyote ndani ya Afrika Mashariki na Kati.

Mkataba huo uliosainiwa juzi umeifanya timu hiyo iliyopanda daraja msimu wa 2013/014, kupokea kiasi cha bil.2.4, kutoka kampuni hiyo.

Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa ufundi wa kikosi hicho, Muhibu Kanu alisema, wanashukuru kuona neema nzuri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani