Msola: Simba ilitulia, presha ilitawala Yanga
Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars, Mshindo Msola amesema Simba ilitulia na ilikuwa na nguvu zaidi ya kushambulia wakati Yanga walipwaya upande wa walinzi wa pembeni kwa sababu ya presha wakati timu hizo zilipokutana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Simba, JKT ni presha mpya
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Watunisia waitia presha Yanga
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Azam yaitia presha Yanga
9 years ago
Mtanzania04 Dec
11 Yanga wamshusha presha Pluijm
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amechekelea hatua ya kurejea kikosini kwa nyota wake waliokuwa kwenye timu za Taifa zilizoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji nchini Ethiopia, ambapo amedai sasa ndoto ya kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaweza kutekelezeka.
Kurejea kwa nyota hao kumesaidia kumshusha presha Pluijm, ambaye awali alidai kuwa michuano hiyo imemtibulia mipango yake kutokana na mikakati aliyojiwekea ya kuhakikisha anawapa...
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Kiongera, Majwega washusha presha Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jk1qJfh5Fa7d3SL1nhVtI8StGpwc84T3JByjfcjy-In3x6-Wr*v9UrukmMz2z21QnXViNzOaRqpXAukRv3AVzrOQqTgADeVL/coutinyo.jpg)
COUTINHO, TEGETE WAIPA PRESHA YANGA IKIIVAA AZAM
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar