Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bagamoyo waeleza wanavyonufaika na Tasaf

MTANDAO wa wabunge katika mashirika ya fedha ya kimataifa wametembelea wanavijiji wanaonufaika na mradi wa utoaji fedha kwa kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wilayani Bagamoyo na kujiridhisha na utekelezaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA BW. KYLE PETERS ATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOETEKELEZWA NA TASAF WILAYANI BAGAMOYO

Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kyle Peters akiwahutubia wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini katika kijiji cha Buma wilayani Bagamoyo. Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus…

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA BW. KYLE PETERS ATEMBELEA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOETEKELEZWA NA TASAF WILAYANI BAGAMOYO.

 Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bwana Kyle Peters amefanya ziara katika kijiji cha Buma wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ambako ameshuhudia walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF na kuridhishwa kwake na namna mpango huo ulivyowanufaisha walengwa ambao wameanza kuondokana na umaskini.
Akiwa kijijini hapo Bwana Peters alitembelea moja ya nyumba iliyoboreshwa na mmoja wa walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini Bwana Bakari Rajabu Bakari ambaye kwa kutumia fedha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanamichezo wanavyonufaika na Olimpiki ya majira ya baridi

Moja kati ya michezo ambayo inavutia kuitazama katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ni michezo ya kuteleza kwenye barafu. Michezo hii ya kuteleza inahitaji sayansi ya hali ya juu na wanamichezo wanaoicheza huwa na vipaji vya aina yake.

 

5 years ago

Michuzi

DC BAGAMOYO AHIDI KUMALIZA KERO NA MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BANDARI YA BAGAMOYO

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa amewasihi wafanyabiashara kutumia bandari ya Bagamoyo kuingiza bidhaa zao na kusafirisha bidhaa zinazotoka nje ya Bagamoyo.

Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.

Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo

Mkurugenzi wa kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman (kulia) akihutubia wakati uzinduzi wa mashindano ya Mbio Ndefu ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yanatarajiwa kutimua vumbi Juni 14 mwaka huu mjini Bagamoyo Mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Bagamoyo, Pwani leo. Wengine kutoka kushoto ni, Kaimu Ofisa Michezo Wlaya ya Bagamoyo, Hamisi Kimenya, Mwenyekiti wa Riadha Tanzania Mkoa wa Pwani, Joseph Luhende na Mkurugenzi Msaidizi Ukaguzi na Uhakiki wa Ubora wa Hudumaza Afya kutoka Wizara ya...

 

10 years ago

GPL

BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON LAFANA WILAYANI BAGAMOYO

Washiriki wa mbio wakiwa katika viwanja vya Shule ya Msingi Mbaruku ya Bagamoyo wakisubiri kupewa zawadi. Mgeni rasmi katika tamasha hilo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  Dk. Shukuru Kawambwa akiwa na baadhi ya washiriki wa michezo.…

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa) THE 33RD BAGAMOYO INTERNATIONAL FESTIVAL OF ARTS AND CULTURE 22 — 28 SEPTEMBER, 2014 CALL FOR ARTISTS

Dear Artists,
We would like to invite you (individual artist/groups) to apply for the participation and performance in the 33th Bagamoyo International Festival of Arts and Culture which will take place at the institute (TaSUBa - Bagamoyo) from 22 - 28 September 2014.

The aim of this festival is to support and expose activities of the artists, encourage cooperation and friendship of both local and international artists, promote mutual cultural exchange, share experiences 
and give the...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO,SHIRIKA LA MAGEREZA NA KAMPUNI YA TARBIM WAKUTANA LEO MJINI BAGAMOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu akitoa maelezo mafupi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni Bagamoyo(kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, John Masunga. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Green Park iliyoko Bagamoyo. Wajumbe wa Bodi ya mradi wa Kilimo cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtandao waeleza kasoro za kampeni

Mtandao wa Kuangalia Chaguzi Tanzania (Tacceo), umetoa ripoti kuhusu kampeni za Uchaguzi Mkuu zilizoanza Agosti 23, huku ukiweka wazi ‘madoa’ yanayozichafua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani