WANANCHI WACHAMBUA UONGOZI WA JK
![](http://api.ning.com:80/files/OyDgsXHkaUITfBNdxA9vI4-vsBz3Los6OyN-yWBpsBRMg4RIo0s7LDlP8sR8JsBj0agBUTJgsZObiISzz87a3s4db-FbbIuX/RaisJakayaMrishoKikwete.jpg?width=650)
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ALMASI JUMA, MWANZA Napenda kukupongeza Mh. Rais Kikwete kwa kazi nzuri uliyoifanya katika kipindi chote tangu ulipochaguliwa kwa kuwa kazi ya kuongoza nchi siyo jambo dogo. Ukitazama kipindi ulipoingia madarakani mpaka sasa ni mambo mengi mazuri umeyafanya kwenye uongozi wako likiwemo suala la kuongeza ajira kwa vijana. Hongera sana. HALIMA PRIVER, ZANZIBAR Sioni...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV02 Nov
SMZ yawahakikishia wananchi Dk. Shein kuendelea na uongozi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewahakikishia Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwamba Rais aliyepo madarakani hivi sasa ataendelea kushika madaraka ya Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mpaka pale utaratibu wa Kikatiba na Kisheria wa kumpata Rais utakapokamilika.
Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akitoa Taarifa ya Serikali akisisitiza Taarifa ya awali ya Serikali iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Wasomi wachambua kasoro za kampeni
10 years ago
Mtanzania27 May
Wasomi wachambua kauli ya Lowassa
GRACE SHITUNDU NA MICHAEL SARUNGI,
DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuweka wazi majaliwa yake ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu yale anayoaamini na kuyasimamia katika taifa, wasomi na wadau wa siasa nchini wamechambua kauli ya kiongozi huyo.
Lowassa juzi alizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Dodoma na kutangaza msimamo wake wa siasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vipaumbele vyake, elimu, kupambana na umaskini.
Wakizungumza...
9 years ago
Habarileo12 Sep
Wasanii wachambua mustakabali wa sanaa
WASANII takriban 70 wameshiriki jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kuchambua mada mbalimbali kuhusu mustakabali wa sanaa nchini.
10 years ago
Mtanzania14 Jan
Wachambua matumizi ya fedha CCM
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru kuzungumzia matumizi ya fedha kwa watu wanaotajwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), baadhi ya wasomi na wanasiasa wamemuunga mkono, huku wengine wakitaka uandaliwe utaratibu wa matumizi ya fedha.
Pamoja na hilo, pia makada wa CCM wanaolalamikia matumizi ya fedha ndani ya chama wametakiwa kutoa ushahidi au kupeleka ushahidi kwenye vyombo vinavyohusika.
Akizungumzia suala hilo mbele...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-waMUcq5bzCQ/Voa56-WmsLI/AAAAAAAIP0Q/PL0YKuXaoXc/s72-c/CWGIW8YWsAEaGmQ.jpg)
JPM awakuna wananchi wenye ulemavu, wamshukuru kwa kutimiza ahadi ya kuwakumbuka katika uongozi wake
9 years ago
CCM Blog09 Nov
MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-S5H1zKYU8YE/VkDTYds2YsI/AAAAAAAIFF4/gCDOTHs_PU0/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-S5H1zKYU8YE/VkDTYds2YsI/AAAAAAAIFF4/gCDOTHs_PU0/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
“ Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...