Wachambua matumizi ya fedha CCM
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru kuzungumzia matumizi ya fedha kwa watu wanaotajwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), baadhi ya wasomi na wanasiasa wamemuunga mkono, huku wengine wakitaka uandaliwe utaratibu wa matumizi ya fedha.
Pamoja na hilo, pia makada wa CCM wanaolalamikia matumizi ya fedha ndani ya chama wametakiwa kutoa ushahidi au kupeleka ushahidi kwenye vyombo vinavyohusika.
Akizungumzia suala hilo mbele...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...
11 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Matumizi ya fedha yasizidi kipato
MARA kadhaa huwa hatuna fedha za kutosha katika maisha yetu ya kila siku. Hali hiyo hutusababishia kuingia katika madeni ili kugharamia mahitaji yetu kama chakula, usafiri, mawasiliano na mengineyo. Hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Matumizi fedha za mradi yamfurahisha waziri
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amefurahishwa na matumizi mazuri ya fedha za mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu unaolenga kuboresha sayansi na teknojia...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Wananchi walalamikia matumizi mabaya ya fedha
WANANCHI wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha madiwani wa wilaya hiyo, kutumia fedha na kuunda tume ya watu watatu, akiwemo mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Joseph Malimbe, kwenda kumuona Katibu...
11 years ago
Habarileo31 May
Ajinyonga baada ya kudaiwa fedha ya matumizi na mkewe
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti, akiwemo mkazi wa kijiji cha Kasitu wilayani Kalambo mkoa wa Rukwa, Nestory Kamchape (48) amejiua kwa kujinyonga baada ya kudaiwa fedha za matumizi na mkewe.
10 years ago
Dewji Blog14 May
Mradi wa Maboresho Matumizi ya Fedha za Umma Wafanikiwa
Msemaji wa Wizara ya Fedha, Bi. Ingiahedi Mduma (wa kwanza kulia) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari wanaoshiriki semina juu ya taarifa ya Mradi wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) mjini Kibaha. (Picha na Thehabari.com)
MRADI wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) umefanikiwa kuboresha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma hasa katika eneo la ukaguzi wa fedha katika taasisi na idara mbalimbali za Serikali. Kauli hiyo imetolewa jana Mjini Kibaha na Msemaji wa Wizara ya...
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake
10 years ago
StarTV04 Mar
Udhibiti matumizi fedha za umma, halmashauri kushindanishwa kiutendaji.
Na Gloria Matola,
Dar es Salaam.
Serikali inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kuzishindanisha Halmashauri zote nchini kiutendaji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa kuondoa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kutoa tuzo kwa zile zitakazoshinda kwa matumizi mazuri ya fedha hizo.
Tanzania ina jumla ya Halmashauri 168 zilizoshiriki ambapo 49 miongoni mwao zimeweza kukidhi mahitaji ya shindano hilo.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Utumishi Hawa Ghasia amesema hivi sasa...