SMZ yawahakikishia wananchi Dk. Shein kuendelea na uongozi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewahakikishia Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwamba Rais aliyepo madarakani hivi sasa ataendelea kushika madaraka ya Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mpaka pale utaratibu wa Kikatiba na Kisheria wa kumpata Rais utakapokamilika.
Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akitoa Taarifa ya Serikali akisisitiza Taarifa ya awali ya Serikali iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziDKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI IDARA MAALUM ZA SMZ IKULU ZANZIBAR LEO
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wakiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
10 years ago
Habarileo21 Dec
SMZ kuendelea kuimarisha ubora wa vyuo vikuu
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali itaendelea na wajibu wake wa kuhakikisha kuwepo kwa mazingira mazuri na fursa za kutosha za elimu kwa kuimarisha ubora wa vyuo vikuu viliopo nchini.
10 years ago
Habarileo19 Dec
Shein: SMZ itaendelea kusambaza umeme
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Dongongwe Mkoa wa Kusini Unguja na kusema serikali ina wajibu wa kupeleka kwa wananchi huduma bora za kijamii, kiuchumi na maendeleo.
9 years ago
Mwananchi14 Sep
SMZ inazungumza na Shell kuchimba mafuta — Dk Shein
11 years ago
MichuziDKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA OFISI YA RAIS,TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ LEO
5 years ago
MichuziSerikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Inatekeleza Haki za Binadamu Kwa Kutoa Afya na Elimu Bure- Dkt.Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (hawapo pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji...
5 years ago
CCM BlogDKT. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ) INATEKELEZA HAKI ZA BINAADAMU KWA KUTOA AFYA NA ELIMU BURE
Akizungumza alipokutana na ujumbe wa watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Ikulu Zanzibar, Dkt. Shein alisema kuwa Serikali inatakeleza kwa vitendo dhana ya utawala bora ikiwa ni utekelezaji wa dhana iliyoasisiwa na Hayati. Abeid...
10 years ago
VijimamboRAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...