Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein: SMZ itaendelea kusambaza umeme

Dk SheinRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Dongongwe Mkoa wa Kusini Unguja na kusema serikali ina wajibu wa kupeleka kwa wananchi huduma bora za kijamii, kiuchumi na maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sh14bilioni kusambaza umeme

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema mwishoni mwa mwezi huu Serikali itatumia Sh4 bilioni kwa ajili ya kusambaza umeme katika vijiji 14 vilivyopo kwenye Kata ya Ikwiriri na Mloka mkoani Pwani.

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa kusambaza umeme Kipawa wahujumiwa

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya Sh milioni 200 baada ya watu wasiofahamika kuhujumu kwa kuiba nyaya 25 katika mradi wa kituo cha kusambaza umeme cha Kipawa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Akon kusambaza umeme Kibera Kenya

10394047_915466105148610_4585435289872044774_n

Rais Uhuru Kenyatta akiwa kwenye mazungumzo na msanii Akon kwenye Ikulu yake jijini Nairobi.(Picha zote kwa hisani ya ukurasa wa Facebook wa Rais Uhuru Kenyatta).

Na Mwandishi wetu

Mwanamuziki nyota wa R&B kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon amekutana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kufanya mazungumzo nae juu ya mpango kusambaza umeme katika eneo la Kibera na sehemu nyingine za vijijini zisizokuwa na nishati hiyo.

Mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wake wenye lengo...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ITAENDELEA KUHAKIKISHA HALI YA AMANI NA UTULIVU-RAIS DKT.ALI SHEIN



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar kabla yac kulivunja rasmin leo katika ukumbi wa mkutano Chukwani Jijinin Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa zawadi ya Kitabu...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana akiri kuridhishwa na kasi ya kusambaza umeme

SERIKALI imepongezwa kwa kasi yake kubwa ya kusambaza umeme vijijini.

 

10 years ago

Michuzi

REA YAENDELEA KUSAMBAZA UMEME VIJIJI VILIVYOBAKI

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
WAKALA wa nishati vijijini (REA) inaendelea kusambaza umeme katika vijiji vilivyobaki kwa awamu, kupitia mradi kabambe wa umeme vijijini ambao umelenga kuweka umeme maeneo ambayo yalikuwa mbali na huduma hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Edmund Mkwawa wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkwawa amesema kuwa mradi huo umeweza kutoa mafunzo na kuwajenga wajasiliamali...

 

10 years ago

Mwananchi

CAG: Taasisi za SMZ wadaiwa sugu wa umeme

Wakati Shirika la Umeme Tanzania Zanzibar likitangaza operesheni kata umeme kwa wananchi na wafanyabiashara wanaodaiwa, taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) zinadaiwa 13.6 bilioni, ikiwamo Ikulu ya Zanzibar, imefahamika.

 

9 years ago

StarTV

Kampuni ya SPENCON yatakiwa kukamilisha kusambaza Umeme Mei 31

 

Kampuni ya SPENCON Serikali imeitaka Kampuni ya SPENCON nchini Kenya iliyopewa zabuni ya kusambaza umeme katika vijiji 90 vya mkoa wa Singida kuhakikisha kuwa inakamilisha shughuli hiyo kabla ya Mei 31 mwaka huu vinginevyo itachukuliwa hatua kulingana na sheria za mikataba.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani ametoa agizo hilo wakati akikagua mradi huo uliogharimu dola za kimarekani milioni 20.

Amebaini kuwa licha ya mkandarasi huyo kuwa nyuma ya mkataba kwa miezi minne...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yajipanga kutumia nguzo za zege kusambaza umeme

Wataalam wa Sekta ya Umeme kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), wakiongozwa na Kamishna Msaidizi wa Umeme Mhandisi Innocent Luoga (wa kwanza kushoto), wakiwa katika mazungumzo na wawakilishi wa Kampuni ya Sunshine Group Ltd (Kulia). Mazungumzo yalifanyika hivi karibuni Makao Makuu ya Wizara, jijini Dar es Salaam na yalihusu uanzishwaji wa Kiwanda cha kutengeneza nguzo za umeme za zege kwa ajili ya kusambaza umeme nchini.Ujumbe kutoka Kampuni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani