Sh14bilioni kusambaza umeme
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amesema mwishoni mwa mwezi huu Serikali itatumia Sh4 bilioni kwa ajili ya kusambaza umeme katika vijiji 14 vilivyopo kwenye Kata ya Ikwiriri na Mloka mkoani Pwani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Akon kusambaza umeme Kibera Kenya
Rais Uhuru Kenyatta akiwa kwenye mazungumzo na msanii Akon kwenye Ikulu yake jijini Nairobi.(Picha zote kwa hisani ya ukurasa wa Facebook wa Rais Uhuru Kenyatta).
Na Mwandishi wetu
Mwanamuziki nyota wa R&B kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon amekutana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kufanya mazungumzo nae juu ya mpango kusambaza umeme katika eneo la Kibera na sehemu nyingine za vijijini zisizokuwa na nishati hiyo.
Mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wake wenye lengo...
10 years ago
Habarileo17 Jan
Mradi wa kusambaza umeme Kipawa wahujumiwa
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya Sh milioni 200 baada ya watu wasiofahamika kuhujumu kwa kuiba nyaya 25 katika mradi wa kituo cha kusambaza umeme cha Kipawa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo19 Dec
Shein: SMZ itaendelea kusambaza umeme
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Dongongwe Mkoa wa Kusini Unguja na kusema serikali ina wajibu wa kupeleka kwa wananchi huduma bora za kijamii, kiuchumi na maendeleo.
10 years ago
MichuziREA YAENDELEA KUSAMBAZA UMEME VIJIJI VILIVYOBAKI
WAKALA wa nishati vijijini (REA) inaendelea kusambaza umeme katika vijiji vilivyobaki kwa awamu, kupitia mradi kabambe wa umeme vijijini ambao umelenga kuweka umeme maeneo ambayo yalikuwa mbali na huduma hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Edmund Mkwawa wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkwawa amesema kuwa mradi huo umeweza kutoa mafunzo na kuwajenga wajasiliamali...
10 years ago
Habarileo26 Jun
Kinana akiri kuridhishwa na kasi ya kusambaza umeme
SERIKALI imepongezwa kwa kasi yake kubwa ya kusambaza umeme vijijini.
9 years ago
StarTV05 Jan
Kampuni ya SPENCON yatakiwa kukamilisha kusambaza Umeme Mei 31
Kampuni ya SPENCON Serikali imeitaka Kampuni ya SPENCON nchini Kenya iliyopewa zabuni ya kusambaza umeme katika vijiji 90 vya mkoa wa Singida kuhakikisha kuwa inakamilisha shughuli hiyo kabla ya Mei 31 mwaka huu vinginevyo itachukuliwa hatua kulingana na sheria za mikataba.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani ametoa agizo hilo wakati akikagua mradi huo uliogharimu dola za kimarekani milioni 20.
Amebaini kuwa licha ya mkandarasi huyo kuwa nyuma ya mkataba kwa miezi minne...
10 years ago
MichuziSerikali yajipanga kutumia nguzo za zege kusambaza umeme
11 years ago
GPLKAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA UMEME
5 years ago
MichuziREA YATAKA WAKANDARASI NCHINI KUMALIZA KAZI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI KWA WAKATI
Mjumbe wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kulia) akikagua vifaa vya ujenzi wa umeme vya mradi huo. Mjumbe wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kushoto) akikagua vifaa vya ujenzi wa Umeme vya mradi wa Kampuni ya kusambaza Umeme ya Ccce Co Ltd inayo sambaza umeme vijiji vya Wembere na Ntwike wilayani Iramba mkoani Singida. Kulia ni Wafanyakazi wa kampuni hiyo. Raia wa China Wafanyakazi wa kampuni hiyo wanao tekeleza mradi huo. Majadiliano kabla ya kwenda kukagua...