Kampuni ya SPENCON yatakiwa kukamilisha kusambaza Umeme Mei 31
Kampuni ya SPENCON Serikali imeitaka Kampuni ya SPENCON nchini Kenya iliyopewa zabuni ya kusambaza umeme katika vijiji 90 vya mkoa wa Singida kuhakikisha kuwa inakamilisha shughuli hiyo kabla ya Mei 31 mwaka huu vinginevyo itachukuliwa hatua kulingana na sheria za mikataba.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani ametoa agizo hilo wakati akikagua mradi huo uliogharimu dola za kimarekani milioni 20.
Amebaini kuwa licha ya mkandarasi huyo kuwa nyuma ya mkataba kwa miezi minne...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-ZBk18zdVm7o/Uui1FpVIotI/AAAAAAAFJhQ/HQAhmhAnPuE/s1600/4.jpg)
KAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA UMEME
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Serikali yaitaka Spencon kumaliza kazi ya usambazaji umeme vijijini kwa muda sahihi
Msafara wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani ukikagua ujenzi wa kituo kipya cha mjini Singida cha kutawanya umeme kilovoti 400 wa gridi kutoka nchini Kenya na Tanzania. Kituo hicho kitasambaza umeme kutoka Singida kwenda mkoa wa Iringa na Shinyanga.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (wa kwanza kushoto mwenye miwani) akizungumza na maafisa kutoka ofisi na madini kanda ya kati mkoa wa Singida na wa wilaya ya Manyoni, kwenye ofisi ya Mkuu wa wa wilaya...
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Spencon: Jinsi tuhuma za rushwa, vitisho na magenge ya uhalifu zilivyoandama mwisho wa kampuni kubwa ya ujenzi Afrika
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jV7SJaMYEYE/XoBUC3mgJ3I/AAAAAAALlcg/GroQ9aR7Ww8YCbm-RVPjblRdOn4oXcmlgCLcBGAsYHQ/s72-c/NHC-4-768x512.jpg)
NHC YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI JENGO LA KITEGA UCHUMI MUTUKULA
![](https://1.bp.blogspot.com/-jV7SJaMYEYE/XoBUC3mgJ3I/AAAAAAALlcg/GroQ9aR7Ww8YCbm-RVPjblRdOn4oXcmlgCLcBGAsYHQ/s640/NHC-4-768x512.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-QGnZW9a_dA0/XoBTmlg4hZI/AAAAAAALlcY/9QT58VHOaHA4p5MxWoRS7L0fFQKiZPSCwCLcBGAsYHQ/s640/NHC-1.jpg)
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwasili katika Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilipo mpakani mwa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera kwa...
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Sh14bilioni kusambaza umeme
10 years ago
Habarileo17 Jan
Mradi wa kusambaza umeme Kipawa wahujumiwa
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya Sh milioni 200 baada ya watu wasiofahamika kuhujumu kwa kuiba nyaya 25 katika mradi wa kituo cha kusambaza umeme cha Kipawa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Akon kusambaza umeme Kibera Kenya
Rais Uhuru Kenyatta akiwa kwenye mazungumzo na msanii Akon kwenye Ikulu yake jijini Nairobi.(Picha zote kwa hisani ya ukurasa wa Facebook wa Rais Uhuru Kenyatta).
Na Mwandishi wetu
Mwanamuziki nyota wa R&B kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon amekutana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kufanya mazungumzo nae juu ya mpango kusambaza umeme katika eneo la Kibera na sehemu nyingine za vijijini zisizokuwa na nishati hiyo.
Mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wake wenye lengo...
10 years ago
Habarileo19 Dec
Shein: SMZ itaendelea kusambaza umeme
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Dongongwe Mkoa wa Kusini Unguja na kusema serikali ina wajibu wa kupeleka kwa wananchi huduma bora za kijamii, kiuchumi na maendeleo.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dqMvG5PIThg/VV89LNxP0mI/AAAAAAAHZOE/v2ezYwA1PUI/s72-c/unnamed.jpg)
REA YAENDELEA KUSAMBAZA UMEME VIJIJI VILIVYOBAKI
WAKALA wa nishati vijijini (REA) inaendelea kusambaza umeme katika vijiji vilivyobaki kwa awamu, kupitia mradi kabambe wa umeme vijijini ambao umelenga kuweka umeme maeneo ambayo yalikuwa mbali na huduma hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Edmund Mkwawa wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkwawa amesema kuwa mradi huo umeweza kutoa mafunzo na kuwajenga wajasiliamali...