KAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA UMEME
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZBk18zdVm7o/Uui1FpVIotI/AAAAAAAFJhQ/HQAhmhAnPuE/s1600/4.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kusambaza vifaa vya umeme wa jua (solar) ya Rex Energy Bw Francis Kibhisa akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),kuhusiana na uzinduzi na utambulisho wa teknolojia mpya yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi na kusambaza Umeme,mkutano huo umefanyika mapema leo asubuhi kwenye makao makuu ya ofisi hizo zilizopo mtaa wa Makamba,Gerezani jijini Dar. Pichani mbele kushoto...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Mar
Rex Energy kupeleka umeme jua kwa kaya milioni moja na laki tano nchini
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar Homes System (SHS). Katikati ni Paul Kiwele Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini,Mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar Islam.
Na Mwandishi Wetu
Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini amezindua usambazaji wa Teknolojia ya Umeme...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZsNyPKdVwMw/VPXutkY-c_I/AAAAAAAHHWg/VtAX7bHAcOs/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
REX ENERGY KUPELEKA UMEME JUA KWA KAYA MILIONI MOJA NA LAKI TANO NCHINI
9 years ago
StarTV05 Jan
Kampuni ya SPENCON yatakiwa kukamilisha kusambaza Umeme Mei 31
Kampuni ya SPENCON Serikali imeitaka Kampuni ya SPENCON nchini Kenya iliyopewa zabuni ya kusambaza umeme katika vijiji 90 vya mkoa wa Singida kuhakikisha kuwa inakamilisha shughuli hiyo kabla ya Mei 31 mwaka huu vinginevyo itachukuliwa hatua kulingana na sheria za mikataba.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani ametoa agizo hilo wakati akikagua mradi huo uliogharimu dola za kimarekani milioni 20.
Amebaini kuwa licha ya mkandarasi huyo kuwa nyuma ya mkataba kwa miezi minne...
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Kampuni yaleta teknolojia mpya matumizi ya gesi
KAMPUNI ya nishati inayomilikiwa na Watanzania, GH Energy Resources Limited, imeleta teknolojia mpya ya kupunguza matumizi ya gesi majumbani na kwenye biashara kwa lengo la kupunguza kasi ya uharibifu wa...
11 years ago
Habarileo11 Aug
Tanesco yatambulisha kifaa cha umeme
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme (Tanesco) mkoani hapa limetambulisha kifaa kipya ambacho ni mbadala wa kutandaza nyaya za umeme kwa maandalizi ya kupata umeme wa shirika hilo kwa wafugaji wa kuku pamoja na wananchi wanaojenga chumba kimoja ama viwili.
11 years ago
Dewji Blog06 May
Kampuni ya PR Promotion yatambulisha Miss Redds Mbagala 2014
Afisa Habari Kampuni ya PR Promotion Bw. Victor Mkumbo (kushoto) akitoa maelezo mbele ya waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu utambulisho wa Miss Redds kwa Kitongoji cha Mbagala kwa mwaka 2014. Katikati ni Mratibu wa Kampuni hiyo Bw. Tesha Japhet na kulia ni Meneja wa Kampuni ya PR Promotion Bw. Gervas Sinsakala.
Baadhi ya warembo watakaoshirki kinyang’anyiro hiko wakiwa wamepozi wakati wa utambulisho wao katika Mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya...
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA
10 years ago
StarTV17 Jan
Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Na Ahmed Makongo,
Bunda.
Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.
Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.
where to get student loans with no credit
Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Sh14bilioni kusambaza umeme