KAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA
Bi. Maznat Yusuph Sinare akieleza namna bidhaa na vipodozi mbalimbali vilivyokuwa na ubora wa kimataifa kwenye uzinduzi wa vipodozi vipya vya kampuni ya ORIFLAME kwenye ukumbi wa ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regenc Kilimanjaro Hotel jijini Dar es salaam.
Kampuni ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).Kampuni hiyo yenye wigo mpana wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLORIFLAME TANZANIA YATOA AJIRA KWA VIJANA 60,000 NCHINI- YATANGAZA BIDHAA ZAKE MPYA
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Bidhaa za China zinavyotamba kwenye soko la Tanzania
9 years ago
Habarileo01 Nov
JK azindua kampuni ya soko la bidhaa
RAIS Jakaya Kikwete amezindua rasmi kampuni ya soko la bidhaa nchini (TMX), ambayo itawezesha wakulima kupata soko la uhakika, uwazi wa bei na kuziba mianya ya kuwanufaisha zaidi walanguzi.
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA CANADIAN SOLUTIONS TRADING&CLEANING Est WATAMBULISHA TILES AINA MPYA ZISIZOKUWA NA UTELEZI KWENYE SOKO LA TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog22 Sep
Kampuni ya Canadian Solutions Trading & Cleaning Est watambulisha Tiles aina mpya zisizokuwa na utelezi kwenye soko la Tanzania
Kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Juzi imetambulisha aina mpya ya Tiles kwenye soko la Tanzania ikiwa na kauli ya “SURE STEP” ndani ya Hotel ya Double Tree Jijini Dar es Salaam. Aina mpya hiyo ya Tiles ni mpya Tanzania kwani ni aina ambayo haina utelezi wakati wote hata pindi ikiwa na maji au imelowa kwa Mvua au Unyevunyevu. Sure Step inafanya Kazi Vipi? akiongea na wageni walioalikwa na wadau mbalimbali Bwana Thomas amesema kuwa Tiles hizo zina ubora wa hali ya juu ikiwemo...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/jezi4.jpg)
MAN U YATAMBULISHA RASMI JEZI ZAKE MPYA
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha kimataifa, Fyfe’s Scotch Whisky katika soko la Tanzania
Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya Fyfe’s katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa...
11 years ago
Dewji Blog06 May
Kampuni ya PR Promotion yatambulisha Miss Redds Mbagala 2014
Afisa Habari Kampuni ya PR Promotion Bw. Victor Mkumbo (kushoto) akitoa maelezo mbele ya waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu utambulisho wa Miss Redds kwa Kitongoji cha Mbagala kwa mwaka 2014. Katikati ni Mratibu wa Kampuni hiyo Bw. Tesha Japhet na kulia ni Meneja wa Kampuni ya PR Promotion Bw. Gervas Sinsakala.
Baadhi ya warembo watakaoshirki kinyang’anyiro hiko wakiwa wamepozi wakati wa utambulisho wao katika Mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya...