MAN U YATAMBULISHA RASMI JEZI ZAKE MPYA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/jezi4.jpg)
Klabu ya Manchester United imekuwa miongoni mwa klabu ambazo zimetambulisha jei zao leo zitakazotumiwa kwa ajili ya msimu ujao. Klabu hiyo imevunja rekodi kwa kuwa ni klabu inayoingiza kipato kikubwa cha pesa duniani kutokana na utengezaji wa jezi . Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike, Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msimu wa 2015/2016. Man United watatumia jezi zitakazokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZi0y21lV4tpyoVxvINGGzaiFW1JI5O4jEXgCdayqCJ-mWmrx4RUD6phKKAl9DiIIwtuxcq0ZSowF86PfsAe2TP/rojo.jpg?width=650)
MARCOS ROJO RASMI MAN UTD, APEWA JEZI NAMBA 5
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/610.jpg)
EATV, EAST AFRICA RADIO ZAZUNGUMZIA KAMPENI YA ‘ZAMU YAKO 2015’
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Zimevuja jezi mpya za Man City za msimu wa 2016/2017, rangi yake kuwashangaza wengi, cheki hapa …
Imekuwa ni kawaida kwa vilabu vya soka vya Ulaya ila mwaka kubadili aina ya jezi kwa ajili ya msimu mpya, lengo kubwa la kubadili aina ya jezi huwa inatajwa kuwa ni namna ya kutengeneza mauzo ya jezi na kuongezea mapato kwa klabu. January 5 footy headlines imetangaza kuvuja kwa aina ya jezi za ugenini watakazo […]
The post Zimevuja jezi mpya za Man City za msimu wa 2016/2017, rangi yake kuwashangaza wengi, cheki hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-ZBk18zdVm7o/Uui1FpVIotI/AAAAAAAFJhQ/HQAhmhAnPuE/s1600/4.jpg)
KAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA UMEME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TYrvltUmOUgK4dzuBEoNi3vrOvmYM5-4xVlG8k9Lc36*SilZsMf*4g7mV47PxX3F78QLjAcytKmi3ciEyrTcMDt/kapombe.jpg?width=650)
Kapombe rasmi Azam, apewa jezi namba 33
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Wadhamini wa jezi wa Man United, Adidas watoa ya moyoni, yapo hapa
Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas, Herbert Hainer.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Wadhamini wa Manchester United ambao ndiyo wanaoitengenezea klabu hiyo jezi, Adidas wametoa maoni yao kuhusu mwenendo wa klabu hiyo na kusema kuwa hawafurahishwi na aina ya uchezaji ya klabu hiyo ambayo wanaamini haiwavutii mashabiki wa soka.
Kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Ujerumani ambayo imeingia mkataba na Manchester United wa miaka 10 wenye thamani ya Pauni Milioni 750 wameyasema hayo kupitia...
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-izMhQ2s-AI8/U7VH9DgzCuI/AAAAAAABCHc/1CAQzYmgQNk/s1600/article-0-1F5A429000000578-193_634x992.jpg)