JEZI MPYA YA MANCHESTER UTD 2014/15
![](http://3.bp.blogspot.com/-izMhQ2s-AI8/U7VH9DgzCuI/AAAAAAABCHc/1CAQzYmgQNk/s1600/article-0-1F5A429000000578-193_634x992.jpg)
M…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-sLc8dIseuYA/VW3JE7aLtCI/AAAAAAAAB38/11BswC4NZLA/s72-c/Man-Utd-leaked-kit.jpg)
JEZI MPYA YA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO 2015/16
![](http://1.bp.blogspot.com/-sLc8dIseuYA/VW3JE7aLtCI/AAAAAAAAB38/11BswC4NZLA/s400/Man-Utd-leaked-kit.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZi0y21lV4tpyoVxvINGGzaiFW1JI5O4jEXgCdayqCJ-mWmrx4RUD6phKKAl9DiIIwtuxcq0ZSowF86PfsAe2TP/rojo.jpg?width=650)
MARCOS ROJO RASMI MAN UTD, APEWA JEZI NAMBA 5
KLABU ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa Sporting Lisbon, Marcos Rojo aliyesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea klabu hiyo. Marcos Rojo akiwa na jezi yake namba 5. Marcos Rojo ametua klabuni hapo kwa ada ya pauni milioni 16 baada ya makubaliano na timu yake ya zamani ya Sporting Lisbon iliyomchukua kiungo wa Man United Luis Nani kwa mkopo.… ...
10 years ago
Mwananchi09 Mar
UDHAMINI WA JEZI: Manchester United yaendelea kutesa duniani
Hivi karibuni Klabu ya Chelsea iliingia mkataba wa udhamini katika jezi za timu hiyo na kampuni ya matairi ya Yokohama ya Japan, hivyo kuwa kati ya timu mbili za juu barani Ulaya zenye udhamini mkubwa.
9 years ago
BBCSwahili22 Aug
Manchester Utd 0 - 0 Newcastle
Manchester United wanawakaribisha Newcastle katika uwanja wa nyumbani wa old Trafford katika mechi hii ya mapema
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Aguero aizima Manchester Utd
Bao lililofungwa kipindi cha pili na Sergio Aguero jana liliipa Manchester City ushindi wa nne mfululizo wa Ligi Kuu England dhidi ya mahasimu wao, Manchester United kwenye Uwanja wa Etihad.
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Guardiola: Manchester Utd hawana pesa !
Kocha wa Bayern ,Pep Guardiola amedai Manchester United hawana pesa zakutosha kuwanunua wachezaji kutoka Bayern Munich .
11 years ago
Mwananchi30 May
Glazer aiacha Manchester Utd kwa watoto wake
>Mmiliki wa Manchester United, Malcom Glazer amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85, na kuacha umiliki wa klabu hiyo kwa watoto wake sita.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Moyes kutoka mteule hadi mkosefu Manchester Utd
Hatimaye Manchester United imemtimua kocha wake David Moyes ikiwa ni miezi 10 baada ya kuteuliwa kuwa mrithi wa Sir Alex Ferguson.
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Ukali wa Van Gaal wamtisha Pedro kutua Manchester Utd
Ndoto za Manchester United kumsajili winga Pedro aliyeichagua Chelsea zinasemekana kuwa ziliyeyushwa na ukali wa kocha Louis Van Gaal.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania