Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moyes kutoka mteule hadi mkosefu Manchester Utd

Hatimaye Manchester United imemtimua kocha wake  David Moyes ikiwa ni miezi 10 baada ya kuteuliwa kuwa mrithi wa Sir Alex Ferguson.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Van Gaal kutoka mfalme hadi shetani Man Utd

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kipigo cha wiki iliyopita kutoka kwa Swansea isiwe sababu ya kuonekana shetani mbele ya macho ya mashabiki wa timu hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

David Moyes atimuliwa na Manchester U

Mkufunzi mkuu na meneja wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa baada ya kushikilia usukani kwa miezi 10

 

11 years ago

BBCSwahili

Moyes:Manchester United haina habati

Meneja wa Man United David Moyes anahisi kuwa klabu yake isingekosa bahati hivyo kiasi cha kupata kichapo cha 2-1 dhidi ya Stoke

 

10 years ago

TheCitizen

Manchester United were wrong to sack me, says Moyes

David Moyes claims Manchester United failed to do the right thing when they sacked him after less than 10 months.

 

11 years ago

Dewji Blog

David Moyes atimuliwa rasmi na Manchester United

_67490240_165110124

 

Moyes amekuwa na Man U kwa miezi kumi pekee

Na Mwandishi Wetu

MKUFUNZI Mkuu na Meneja wa Klabu kongwe duniani Manchester United David Moyes ametimuliwa rasmi na klabu kutokana na kufanya vibaya baada ya kushikilia usukani wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.  

Klabu hiyo hapo awali ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magazeti ya Uingereza kwamba Moyes atafutwa kazi kabla ya msimu kumalizika mwaka huu.

Moyes, mwenye umri wa miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana...

 

11 years ago

GPL

BARUA YA WAZI YA MOYES KWENDA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED

Kocha wa Manchester United, David Moyes. Kocha wa Manchester United David Moyes ameandika barua ya wazi kwa mashabiki wa klabu hiyo akielezea kwamba msimu wake wa kwanza ndani ya klabu umekuwa m'bovu zaidi kuliko ilivyotegemewa. Akiwasifu mashabiki kwa uvumilivu wao, Mscotish ambaye aliteuliwa na Sir Alex Ferguson, amekiri kwamba matokeo yao mabovu yamemshangaza mpaka yeye lakini ana uhakika kila kitu kitakaa sawa mbeleni....

 

11 years ago

Michuzi

David Moyes: Manchester United 'no comment' on boss reports

Moyes and Manchester United's turbulent season21 April 2014
Manchester United say David Moyes has not been sacked but declined to comment when asked about the manager's longer-term future.
National newspapers say the club will dispense with the Scot's services following a poor season. However a United spokesperson would only confirm Moyes has not been sacked. When pressed on whether the manager would leave before the end of the season, the spokesperson added, "we do not comment on speculation". None of the newspapers are...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Kikwete kuongoza hadi rais mteule atakapoapishwa’

Serikali imesema Rais Jakaya Kikwete na baraza lake la mawaziri wataendelea kufanya kazi hadi rais mteule atakayeshinda katika Uchaguzi Mkuu atakapoapishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani